Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Zamani mamiss almost wote walitokea familia bora au zilizo na elimu plus exposure, hata wema na uwoya ni fame Tu imechukua nafasi yake lakini hata bila umiss bado wangeishi life zuri Tu sababu ya family background
Ni kweli hata Jokate pia. Ila umaarufu wa mitandaon ndo ukawaharibu mweeeh.
 
2003 ulikuwa na miaka mingapi!?

Ulikuwa mwaka mbaya sana sababu ya ukame mvua ziligoma kunyesha kelele kila kona mgao wa umeme mkali .
Nilikua chini ya miaka 5. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zamani mamiss almost wote walitokea familia bora au zilizo na elimu plus exposure, hata wema na uwoya ni fame Tu imechukua nafasi yake lakini hata bila umiss bado wangeishi life zuri Tu sababu ya family background
Aseee future husband hatoki kwenye familia Bora, labda Uwoya sawa..

Hao wakina manunu wameishi na Maza yao hapo sinza Mori mda mrefu sana mshua alikuwa sijui zenji kwa my wife original
 
Aseee future husband hatoki kwenye familia Bora, labda Uwoya sawa..

Hao wakina manunu wameishi na Maza yao hapo sinza Mori mda mrefu sana mshua alikuwa sijui zenji kwa my wife original
Mzee sepetu alikuwa na profile asingeweza kumuacha mwanae akae kijobless kama sisi watoto wa wakulima, hata kama mama yao hakuwa mke wa kwanza ila ni obvious fact mzee sepetu alikuwa anampenda sana wema
 
Back
Top Bottom