Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

Kweli kabisa

Nimetoka kuona majibizano yamejaa matusi mazito ya nguoni na viungo vya binadamu.

Yaani baba na mama wa mtu wametukanwa kisawasawa.

Hii sio JF ile iliyojaa staha!!!
Baba na mama Ake mtu tena 😂😂😂
 
Hahaha, aise kweli sahvi kuna washamba wamevamia wanasumbua tu
Ila kuna wanawake walikuwa maarufu wanaishi
Low profile na wako vizuri tu
Siyo hawa wanaogawa na kurusha hela kama wendwzm

Ova
Huyo uwoya nae kilaza tu hajui kuna sponsa kukata kamba
 
dah namkumbuka huyu miss tulikuwa tunacheza naye sana pooltable pale " now open" mabibo hostel , ila alikuwa ananiboaga na mifegi yake, alikuwa mpole sana wala hana makuu, sylivia na hisi atakuwa miss tanzania mfupi kulipo ma miss tz wote
Yule miss mwingine Angela Damasi sijui naye kapotelea wapi
 
2003 ulikuwa na miaka mingapi!?

Ulikuwa mwaka mbaya sana sababu ya ukame mvua ziligoma kunyesha kelele kila kona mgao wa umeme mkali .
Ng'ombe walikufa sana kwa kukosa chakula na walishuka bei hadi 50,000[emoji3][emoji3]
 
dah namkumbuka huyu miss tulikuwa tunacheza naye sana pooltable pale " now open" mabibo hostel , ila alikuwa ananiboaga na mifegi yake, alikuwa mpole sana wala hana makuu, sylivia na hisi atakuwa miss tanzania mfupi kulipo ma miss tz wote
Yule miss mwingine Angela Damasi sijui naye kapotelea wapi
Ha ha umenikumbusha mbali eti Now Open,wewe unamfahamu vizuri inawezekana hata sigara kubwa alikua anapiga ni moja ya ma Miss sikuelewa vigezo gani vilitumika alikua mfupi na chain smoker
 
Somo hapo juu linaeleweka.

Sylvia was my role model.

Cha ajabu hata sijui yuwapi na unapompenda MTU kama role model wako walau uweze kumfuatilia.

Na kama ameingia kwenye masuala binafsi na familia basi inakuwa kawaida kuweza hata kukutana naye kikawaida.

Nampenda Sana Sylvia Bahame aliyewahi kuwa Miss Tanzania.
 
Somo hapo juu linaeleweka.

Sylvia was my role model. Cha ajabu hata sijui yuwapi na unapompenda MTU kama role model wako walau uweze kumfuatilia. Na kama ameingia kwenye masuala binafsi na familia basi inakuwa kawaida kuweza hata kukutana naye kikawaida. Nampenda Sana Sylvia Bahame aliyewahi kuwa Miss Tanzania.

Kafanyaje huyuu…….
 
Huyu hapa

img_1_1647555923483.jpg
 
Somo hapo juu linaeleweka.

Sylvia was my role model. Cha ajabu hata sijui yuwapi na unapompenda MTU kama role model wako walau uweze kumfuatilia. Na kama ameingia kwenye masuala binafsi na familia basi inakuwa kawaida kuweza hata kukutana naye kikawaida. Nampenda Sana Sylvia Bahame aliyewahi kuwa Miss Tanzania.
Huyu dada aliolewa
 
dah namkumbuka huyu miss tulikuwa tunacheza naye sana pooltable pale " now open" mabibo hostel , ila alikuwa ananiboaga na mifegi yake, alikuwa mpole sana wala hana makuu, sylivia na hisi atakuwa miss tanzania mfupi kulipo ma miss tz wote
Yule miss mwingine Angela Damasi sijui naye kapotelea wapi
Ooomg Sylvia ni mfupi? No please...yaan kama unajua height yake tell me. Sijawahi kuona Miss mfupi
 
Ooomg Sylvia ni mfupi? No please...yaan kama unajua height yake tell me. Sijawahi kuona Miss mfupi
nahisi hujaelewa statement yangu vizuri , for your information namfahamu huyo sylivia bahame , kwa mtazamo tu ukimlinganisha na ma miss wengine mf anjela damasi , jaqueline , yeye ni mfupi
 
Nawaonaga wakina uwoya wanasumbua wageni. Pis Kali zilikuwa enzi zile bana.
 
Back
Top Bottom