Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unemaliza kila kitu! Na wajue kwamba hata malaya waliziw ana bikira!
 
Mkuu,

Nadhani wewe una maumivu sana moyoni Huu UJINGA Unao ongea hautaisaidia jamii kama ifuatavyo.

1. Wewe hayo maneno kwanini usiite ukoo wako Yaani Baba awepo Mama na Waliobaki utoe nasaha kwa FAIDa ya ukoo wenu.

2. Unazungumza utoto wewe ukija kua mzazi kwa jamii zetu za ki Afrika wewe utamsaidia vipi mkeo kwa binti zako ili mkweo akute bikra.

3. Bikra haifanyi kupendwa zaidi na mwanamke wapo tulio watoa kwa sasa ni wake za watu na wanashimu ndoa zao pia sisi tumeoa walio tolewa na wanaheshimu ndoa.

4. Jitahidi kuifanya akili yako kua na FIKRA chanya NGONO inaendesha sana VIJANA wa kizazi hiki Laiti baba yako angekusimulia mabaya ya mama yako na mazuri yake ungewaheshimu WANAWAKE.

Mwisho,
Mkuu niwie radhi kama kuna sehemu nitakua nimekukwaza kwa uchangiaji wangu ila tuheshimu wanawake pia wanaume tujiamini Dunia ya sasa hata upewe bikra 1000 ukae nao kama hawakuheshimu na hawana hofu ya Mungu watakusaliti.

Note: UKITAKA UMCONTROL MWANADAMU UMBA WA KWAKO.🙏🏻
 
wewe umeoa alietumika? au umeolewa ukiwa umetumika? ama umeyajuaje hayo?
Mi sijawahi kua raisi wa Tanzania wala mteuliwa wa raisi wa Tanzania,wala mtoto wake, ila najua kua raisi wa Tanzania anateua na kutengua Kila anapojisikia anaweza kuteua hata mwanae,hata kama wapo wenye sifa zaidi ya mwanae,kua waziri au naibu waziri🤣😀😆😆
 
Alichoongea ni UONGO?,ajibiwe kwa hoja kwa nini ni UONGO,........hapo tuna assume mtoa mada ana matatizo ya relationships kibao huko nyuma na sio mkamirifu na hajaoa bikira na kwake maisha ni magumu😆😀😀
 
Kwenye maisha ili usonge mbele unahitaji kusikia maneno magumu kama haya😆😃😀
 
Hata ukiumba mwanamke wako mwenyewe hutaweza kum control,unajua Mungu alilichagua taifa la Israeli akasema hilo ni BIBI ARUSI wake akalipamba kwa mapambo na akafanya nalo agano,akafunga nalo NDOA.

Lakini kuna kipindi mwanamke huyu taifa la Israeli akamsaliti Mungu na kuanza kuabudu miungu mingine,mwanamke huyu akawa KAHABA,ndio maana Mungu akamwambia nabii nenda kaoe kahaba ,mana nyinyi taifa lsreael ndio mfano wa kahaba ambao mnaniomba msamaha nowasamehe kwa kitendo chenu cha ukahaba huo.

nabii Lutu alioa mwanamke bikira na nabii Lutu alikuwa anaongea na Mungu mtakatifu kabisa ,lakini alishindwa kumchunga mke wake asfifuate tamaa na anasa na ufuska uliokuwepo katika nchi ya SODOMA na GOMORA mpaka Mungu anawaambia ondokeni SODOMA nataka kuiangamiza kwa moto ila msigeuke kutazama nyuma ila mke wa Lutu akatazama nyuma ,na akageuka kuwa jiwe la chumvi au nguzo ya chumvi ambayo ipo mpaka leo.

Kama mke wa Lutu hakumsikiliza Mungu akatamani anasa za SODOMA na Gomora mji wa uzinzi na usodoma,..hata sasa tunaishi kwwnye kizazi cha ufuska kama sodoma na gomora,..mwanamke kama hawezi kuzuzuia tamaa zake za kufanya ufuska na ukahaba ,hutaweza kumchunga wewe ,kama hana hofu ya Mungu moyoni mwake ,mwanadamu ni complex machine ana complex mind huwezi kuchunga mtu mwenye akili kama wewe au hata kukuzidi wewe,ni sawa na kulinda bahari huwezi kuchunga bahari watu wasiogolee ukilinda pointi ya koko bichi watu wataogelea kawe,ukienda kawe wanaogelea koko .
 
We jamaa unatia hasira sanaaa
 
Wote tumetumika na maisha?,😃😆😆,kwa kua wewe unabadili magari used,kua huamini kuna watanzania wenzako wanaweza kumiliki gari zero kilometer?,kwenye nchi hii hii?
Endelea kujiaminisha ujinga
 
Hii noma aisee🙌🏼 Huyo mjeshi hajapata fununu zozote mpaka sasa?? Wanawake wana siri nyingi aisee kweli mtu akisema wanaume tuoe bikra aeleweke tu!
 
Alichoongea ni UONGO?,ajibiwe kwa hoja kwa nini ni UONGO,........hapo tuna assume mtoa mada ana matatizo ya relationships kibao huko nyuma na sio mkamirifu na hajaoa bikira na kwake maisha ni magumu😆😀😀
Mleta mada hajui kujenga hoja kwa heshima atajibiwa kama alivyo kuja
 
Naelewa sana nyuzi zako
 
Marriage is not a retirement plan! Mwanaume usikubali mwanamke afanye makorokocho yake alafu aje kukupumzikia!
Marriage is not a retirement plan! Mwanaume usikubali mwanamke afanye makorokocho yake alafu aje kukupumzikia!
hata wanaume huwa tuna retire kutoka kwenye kufanya makorokoro,sasa mkikutana wote mmeamua ku tetire kutoka kumtumikia shetani na kuachana na anasa za dunia na kuamua kumfuata Mungu,mnatulia kweli kwa sababu anasa za dunia mnazifahami na kuamua kuziacha KURETIRE baada ya kuona hazina faida zaidi ya hasara tu.

kuna wanaume wengine walikuwa wananunu makahaba kabisa na wakaamua kuretire na kutulia kwenye ndoa.
 
"Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira." Oya bro wadogo zako tutaoa kweli? Si kwa haya mapini unayotupiga nayo😂😂😂😂😂
 
Haya akiongea mwenye bikira italeta maana zaidi
 
A man who refuce to be a retirement plan is not insecure. He is simply not stupid
 
Yaani mpaka unashupaza mishipa ya shingo eti nataka nikuambie. Yaani kama unachoongea kina maana.
YAANI KAMA NDIO FIKRA ZA VIJANA HIZI. KUWA NA UNAFUU WA MAISHA WEWE UTAKUSIKIA TU RADIONI. WEWE UTAKUFA MASIKINI. KAZI YAKO NI KUCHUNGA KIDUDE CHA MKEO.
Kwaiyo unataka kurusha ngumi au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…