Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Kiukweli inaumiza mno kumuoa mwanamke used kwasababu bila shaka hao waliopita nae ipo siku mmoja atarudi tu....huku kwetu sehemu alizopita Tembo hata ipite miaka mingapi lazima watapita tena
Sasa Mkuu Tutaishije
Acha Tuwe Nao Tu Tuendeleze Walipoishia Wenzetu
ingawa Umesema Kweli Ipo Siku Kwenye Orodha Mmoja Akapita Tena Na Tena
😃😀😅🤣😁😁
 
Hakikisha unatembea na baby lube, maana lolote linaweza kukutokea.
 
🦁🙄😬😒😫
 
Single mother siwezi hata kumdate maana naweza kunogewa labda itokee kimasihara, afu body count yake we unaijuaje au hua mnawauliza?
Mkuu
Tema Mate Chini
Wengine Tunao Tunadunda Nao Na Vitimbi Vyao
Ila Yataka Moyo Kumfokea Junior Mbele Ya Single Mom
 
Mkuu
Tema Mate Chini
Wengine Tunao Tunadunda Nao Na Vitimbi Vyao
Ila Yataka Moyo Kumfokea Junior Mbele Ya Single Mom
😂🤣 We acha tu mkuu, na walivyo na visirani kina jr
 
Ww khuma tuu
 
Maneno kuntu..
Sex siyo kitu cha kunyimana.
Tuache uchoyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…