Sasa kwanini unajadili jambo usilolijua ? Hivi ndivyo mnavyofundishwa ?Na kwanini Jiwe ni gumu wakati mimi sio???
Kwenye huu ulimwengu kuna gradient, Vitu sio homogenous, Vitu vinatofautiana.
Labda swali ni kwanini kuna gradients?
Mimi Sijui, Wewe unajua?
Kuna wkt mwenyew Huw nafel nikmuwaza sana mungu naamua kukausha tu maana sjabobea sn hukoKwanini awe mgumu kueleweka kwa viumbe wake?
Hataki tumjue?
Je, Mungu yupo? - Mantiki ya BinadamuKwanini kuhoji dhana yenye utata kuhusu mungu iwe ujinga,?
Ujinga ni nini?
Ni maneno ya Mungu kwa kuyatafakari tu na jinsi yalivyoshusha sio kawaida ,yamejaa hekima.Nimekuuliza swali hujajibu.
Una uthibitisho gani kuwa hayo maneno kwenye Quran ni ya mungu na si mtu tu aliyeyatunga?
Nataka nikuonyeshe uongo wa hili zingatio lako kwa kuuliza maswali haya :NB: Watu wanaamini kuhusu MUNGU sababu binadamu amefeli kujibu ulimwengu ni nn na kifo ni nn na vimetokana na nn.
Unaamini kitu Ambacho huna uhakika nacho mbaya zaidi hata kuhoji huwezi.Bora umwamini tu, hata kama kweli hayupo haudhuriki, kuliko kutomwamini na ukamkuta kwenye kiti cha hukumu!
Uko kwa wazungu ndo kwenye uchafu wa kila aina ushoga, lesbian, ufuska, ukahaba uko umehalalishwa kabisa, wametutawala kwa miaka 500 wakiwabaka mabibi zetu kuwaua mababu zetu na kututendea mabaya kibao kwamba hawa ndio wameshika dini vizuri ndio maana wana maendeleo kutuzidi sisi?MUNGU amekuwepo duniani hata kabla ya ujio wa dini.
Waafrika walimuabudu Mungu hata kabla ya ujio wa hizi dini.Do and don't do yaani sheria za asili mfano usiue,usiibe,usiseme uongo ndio hizo hizo zilizopo kwe amri kumi za Mungu.Mwafrika ashiki dini wala kuongozwa na dini thus ana matatizo kibao.
Dini ndio asili chanzo cha maendeleo na ustaarabu kwa nchi za Ulaya na uarabuni.Mwafrika angeshika dini hata 40% angekuwa na maendeleo makubwa sana SAwa na zilipoanzia dini.
Inatakiwa kwanza uelewe tabia za muafrika ni zipi,tabia za muafrika si tabia za kidini yaani uvivu, ubinafsi, uroho,roho mbaya, starehe,utengano,ulafi hizi ni kinyume na mafundisho ya dini.
Mababu au watu waliokufa kabla ya ujio wa dini hata SAsa hawa wanahukumiwa kwa sheria za asili yaani do and don't do yaani miiko na makatazo kwa mujibu wa sheria kanuni mila na taratibu zilizowekwa na Jamii usika.
Sala na maombi hazijasaidia kumaliza matatizo kwa sababu mwafrika ajashika dini kikamilifu.
Dini ni muongozo wa maisha yote ya kiroho na kimwili, yaani huwezi fanikiwa maisha ya kimwili pasipo kwanza kutengeneza maisha YAKO ya kiroho.
Atanisamehe vipi wakati hayupo? Au unaongelea mungu yupi?Mungu akusamehee tu
Vipi hewa ya oxygen, carbon dioxide zitaisha lini,maji ya bahari je, udongo na mchanga,mawingu mbona haviishi tangu kuumbwa ulimwenguNimekuuliza swali la kipofu. Umejibu juu juu kwa jibu jepesi sana.
Mimi sio muanzisha hoja.. ila kwa hilo jibu sizani kama unaweza mshawishi mtu mwenye akili alikubali.
Jibu la swali lako kuhusu kifo. Kifo kipo sababu hakuna kinachodumu milele. Hata vitu tunavyovitengeneza sisi binadamu kama bulb, magari, simu, etc huwa kuna muda wake vina kufa tu.
Ulimwengu usioonekana upoje?Unao ufahamu kuhusu ulimwengu wa ROHO yaani usioonekana
Watu wake ni wapi na wasio wake ni wapi?Labda we ndie umuelewi, lakini walio wake umuelewa1
Je hayo matendo ni maamrisho ya dini?Uko kwa wazungu ndo kwenye uchafu wa kila aina ushoga, lesbian, ufuska, ukahaba uko umehalalishwa kabisa, wametutawala kwa miaka 500 wakiwabaka mabibi zetu kuwaua mababu zetu na kututendea mabaya kibao kwamba hawa ndio wameshika dini vizuri ndio maana wana maendeleo kutuzidi sisi?
Watu wake ni wale wanaomuamini na kufuata Yale maagizo na mafundisho yake na wasio wake ni wale wasiomuamini, kumfuata na kumtii.Watu wake ni wapi na wasio wake ni wapi?
Unajua hivyo au unaamini?Hoja ya kawaida kutoka kwa wakanamungu na wenye wasiwasi ni kwamba ikiwa vitu vyote vinahitaji sababu, basi Mungu lazima pia ahitaji sababu. Hitimisho ni kwamba ikiwa Mungu alihitaji sababu, basi Mungu si Mungu (na kama Mungu si Mungu, basi bila shaka hakuna Mungu).
Hii ni aina ya kisasa zaidi ya swali la msingi "Ni nani aliyemfanya Mungu?" Kila mtu anajua kwamba kuna kitu hakitokani na kitu chochote. Kwa hivyo, ikiwa Mungu ni "kitu," basi lazima awe na sababu, sivyo?
Swali ni gumu kwa sababu linaingia katika dhana ya uwongo kwamba Mungu alitoka mahali fulani na kisha anauliza hiyo inaweza kuwa wapi. Jibu ni kwamba swali halina maana hata kidogo. Ni kama kuuliza, "Bluu inanuka nini?" Bluu haipo katika kundi la vitu ambavyo vina harufu, hivyo swali lenyewe lina kasoro. Kwa njia hiyo hiyo, Mungu hayuko katika kundi la vitu ambavyo vimeumbwa au kusababishwa. Mungu hatumiki na hajaumbwa—Yeye yupo tu.
Tunalijuaje hili? Tunajua kwamba kutokana na chochote, hakuna kinachokuja. Kwa hivyo, ikiwa kungekuwa na wakati ambapo hakukuwa na chochote kabisa, basi hakuna kitu ambacho kingewahi kutokea. Lakini mambo yapo. Kwa hiyo, kwa kuwa hakungekuwa na kitu kabisa, kitu kilipaswa kuwepo kila wakati. Kitu hicho kilichopo daima ndicho tunachokiita Mungu. Mungu ndiye Kiumbe asiyetumiwa ambaye alisababisha kila kitu kingine kuja kuwepo. Mungu ndiye Muumba asiyeumbwa ambaye aliumba ulimwengu na kila kitu ndani yake.
Unathibishaje hayupoAtanisamehe vipi wakati hayupo? Au unaongelea mungu yupi?
Sielewi unataka kujenga hoja ipi.Kuna hizi bangi matoleo mapya ni mtihani sana, ile ya zamani ukivuta mapushabu nayo mtihani sasa kuna hizi za sasa wanaita bongo_shit, na matoleo yake ndio yanayofanya hivi watu
Wewe ni yupi kati ya hawa, mkanamungu au mwenye wasiwasi wa chanzo na uwepo wa Mungu?Unajua hivyo au unaamini?
Unaacha kujadili hoja unanijadili Mimi.....mapepo ni nini?Unajua mleta mada kuna moja kati ya haya linakusumbua ama yote
1. Unadhani una akili sana
2. Una mapepo.
Hakuna nje ya hayo mawili.
Sasa kama umejiridhisha pasipo shaka juu ya uwepo wake kwann hilo liwe tatizo?Kwa hiyo majibu yakipatikana kuhusu maswali hayo basi hakutakua na haja ya kuwa na mungu?