Labda we ndie umuelewi, lakini walio wake umuelewa1Kwanini awe mgumu kueleweka kwa viumbe wake?
Hataki tumjue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda we ndie umuelewi, lakini walio wake umuelewa1Kwanini awe mgumu kueleweka kwa viumbe wake?
Hataki tumjue?
Zipo sababu zaidi ya moja mtu kuzaliwa kipofuVipi kuhusu watu wanaozaliwa vipofu macho yao hayawezi kutazama na kutofautisha rangi ?
Je hao wana kosa gani? Ama kwa sababu gani wameumbwa hawajakamilika kama wenzao
Huwezi muona kama huna machoMungu tusiye muona ni sawa na kueleza kitu tusicho kiona. mada imeishia hapo
Mkuu usiniwekee maneno ambayo sjayaandika, hakuna mahala nmesema Mungu ndo kaweka hizo mechansms, ila nimekuuliza ''nani ameziweka hizo mechanisms''?Wewe unayesema ni Mungu kaweka, unatakiwa uthibitishe. na ukithibitisha beyond doubt, Mimi nitaamini na kumuabudu.
Lakini kama ukishindwa kuthibitisha, Tusiseme ni Mungu bali tuseme ni hizo mechanisms.
SAS izo mechanism kwann unazo wew na sio jiwe [emoji41]Hoja nyepesi sana...Kila kitu hiki kinajulikana mechanisms zake
Hoja ya kawaida kutoka kwa wakanamungu na wenye wasiwasi ni kwamba ikiwa vitu vyote vinahitaji sababu, basi Mungu lazima pia ahitaji sababu. Hitimisho ni kwamba ikiwa Mungu alihitaji sababu, basi Mungu si Mungu (na kama Mungu si Mungu, basi bila shaka hakuna Mungu).Kwanini kuhoji dhana yenye utata kuhusu mungu iwe ujinga,?
Ujinga ni nini?
Sasa kumbe tunabishana nini sasa?? Maana mimi sijamleta Mungu na wewe hujamleta..Mkuu usiniwekee maneno ambayo sjayaandika, hakuna mahala nmesema Mungu ndo kaweka hizo mechansms, ila nimekuuliza ''nani ameziweka hizo mechanisms''?
5. Fikiria unakula ugali mwili unatenganisha kinachohitajika na kisicho hitajika kinatolewa kama kinyesi halafu unasema hakuna mungu.
Tafakari kijana
Sawa mkuu mimi pia nafatilia comment za watu. Bahati mbaya mpaka thread ya 4 hii sijaona comment iliyonishawishi kutoka kwa waumini wa dini. Ni jazba, vitisho na kuuliza maswali yasiyokua na uhusiano kimantiki kuhusu dhana ya uwepo wa Mungu. Hii dhana ya uwepo wa Mungu hata mimi pia ilianza kugoma kuingia kichwani tangu nikiwa o-level nilijiuliza maswali mengi sana, kwanini vitabu vya Mungu vina mkanganyiko, kwa maelfu ya miaka Mungu alishindwa kujidhiirsha yeye mwenyewe afrika mpaka akasubiri atambulishwe na wakoloni?, mababu zetu waliokufa kabla ya ujio wa hizi dini je saiv wapo motoni? Tangu kuletwa kwa hizi dini takribani miaka 500 sasa hivi je sala na maombi vimesaidia kumaliza tatizo gani hapa afrika? Yaani maswali ni mengi sana bahati mbaya sijawahi kupewa majibu ya kuniridhisha kwaiyo naishi kwa kuongozwa na ubinadamu. Dini naichukulia kama namna fulani tu ya kujumuika na jamii ila sio muongozo wa maisha
Ikiwa Mungu yupo ni moja ya maswali ya msingi na muhimu ambayo mtu yeyote anaweza kuzingatia. Maoni juu ya Mungu yanazidi, lakini kujibu swali je, Mungu yupo? inadai zaidi ya sekunde chache za umakini na inahusisha mawazo na ushahidi mbalimbali. Hatimaye, kile tunachokiona katika uzoefu wa binadamu, sayansi, mantiki, na historia husababisha jibu la ujasiri: ndiyo, Mungu yupo.Kwanini kuhoji dhana yenye utata kuhusu mungu iwe ujinga,?
Ujinga ni nini?
Na kwanini Jiwe ni gumu wakati mimi sio???SAS izo mechanism kwann unazo wew na sio jiwe [emoji41]
Huwa nacheka sana hoja za Wakana Mungu, kitu ambacho wakana Mungu hamkijui ni kuwa hamjijui kama hamjui yaani nyinyi ni Wapumbavu, huku mkijiona mnajua.Kwanza umejuaje ni nani?? Kwanini hujauliza ni Nini??
Inamaana umeshaassume ni fulani sio?
Haya mimi sijui ni nani, wewe unajua??
Na kama unajua, unaweza ukathibitisha?
Nani alilwambia Mwanadamu anaumba ? Unajua maana ya kuumba ?Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Don't talk out loud,you lower the IQ of the whole street. [emoji2960]Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Wewe umejuaje kwamba ni uamuzi wake? Una mawasiliano nae?Huo ni uamuzi wake yeye Mwenyewe[Muumba] na yeye tu ndo anajua kwanini unaumba hivo.
Hivi wewe unajua siku yako ya kufa? Unajua kifo chako kitakuaje?
Hicho kifo nani au nini kilikiweka?
Nani Ina maarifa, Ina sanifu, Ina jua, Ina malengo.Kwanini unafikiri ni lazima viwe vimepangwa na "nani"?
Kwa hiyo majibu yakipatikana kuhusu maswali hayo basi hakutakua na haja ya kuwa na mungu?Ukisema MUNGU aliumbwa na binadamu njoo na majibu yote yenye utata kuhusu ulimwengu na mauti.
Kama huna majibu yaliyopelekea watu kuamini uwepo wa MUNGU ni kupoteza muda.
NB: Watu wanaamini kuhusu MUNGU sababu binadamu amefeli kujibu ulimwengu ni nn na kifo ni nn na vimetokana na nn.