Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

Duuuh...😭 Inamaana hamkupata namna ya kujua alipokuwa akiishi mkiwa naye hapo chimboni mfatilie hizo laini za simu kuwajuza ndugu zake au alikuwa nazo mfukoni na kufariki humo humo shimoni?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
mkuu tulijitahidi sana kadri ya uwezo wetu, hatukupata laini wala hakukuwa na hata mtu mmoja mwenye picha yake, si unajua tena life la chimbo,.....mpaka sasa ni zaidi ya miaka mitano,....😒😒πŸ₯²
 
Yule mfalme wa Ethipia nae baada ya kuuliwa alitupwa kwenye shimo la choo pale Jumba Jeupe miaka kadhaa mbele ndio ikaja kuhundulika
Unaweza kujazia nyama tupate kujua chanzo cha mkasa hadi kuuwawa kwake Mkuu? Maana Mfalme ni sawa na Raia namba moja wa nchi yoyote duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
mkuu tulijitahidi sana kadili ya uwezo wetu, hatukupata laini wala hakukuwa na hata mtu mmoja mwenye picha yake, si unajua tena life la chimbo,.....mpaka sasa ni zaidi ya miaka mitano,....😒😒πŸ₯²
Ayseee...! Kweli msiba usikie tu kwa Jirani usiombee yakukute 😩

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Unaweza kujazia nyama tupate kujua chanzo cha mkasa hadi kuuwawa kwake Mkuu? Maana Mfalme ni sawa na Raia namba moja wa nchi yoyote duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is the.
 
Kwa hali aliyokua nayo ukichanganya na elimu yake ndogo hawezi kuwa spy
Spy sio mpk uwe na elimu kubwa inategemea unawekwa kwa kazi gani..
Naongea kwa kuwa naelewa..😊😊😊😊maybe huyo sio kweli ila elimu haihusiani kwny hiyo kazi....
Na hata kama alikua hajui anachotakiwa kufanya basi mafunzo maalumu yanatolewa kwa ajili hyo....
Nina watu wa krb wako huko..
 
Mimi pia, mambo ambayo hata siwezi kuyasema humu.

Nakumbuka kipindi kile viongozi wanauawa kule rufiji walipelekwa vibarua wakulima wa intelejensia ambao ndiyo waliumaliza ule mgogoro.

Uko sahihi kabisa ni mafunzo tu na siyo elimu.
 
Umemaliza tukae kimya huu mjadala uishie hapa...😊😊😊
Tuendelee kutafuta watu wetu waliopotea
 
Inawezekana ni spy so amehamishiwa kazi kituo kingine...kwa sbb hataki ajulikane hasa na watu wa karibu...au kuna matukio ya kutisha ameyafanya hivyo hataki familia yake iwe involved...
HII dunia kuna mambo meusi mengi yanaendeshwa na watu wenye akili tofauti na watu wa kawaida mfano mmoja ni serial killers,matapeli nk kuna watu kazi zao ni kuwafuatilia watu na sio maafisa usalama wala nini na wakigundua background yako na life style yako tu umekwisha sa mtu una ndugu ila unaishi kama una ndugu unategemea nini?uyo utakuta ata kauliwa /kapotezwa kabisa na watu wamechukua mali,hauwezi kuamini kuna watu kwenye hii dunia kazi yao ni kufuatilia mirathi ya watu waliokufa na hawana ndugu,
 
Mambo yote ni ubatili mtupu
 
kweli kabisa mkuu
 
Daaahhhhhh maisha haya jamani πŸ’”πŸ’”πŸ’”
 
acha
acha tu mkuu, tumepoteza washikaji wetu wengi tu migodini , lakini hii ya huyu jamaa inanitafuna mpaka sasa,...unaweza kuta familia yake inalaani dingi katutelekeza,...πŸ₯²πŸ₯²
Yani familia yake na watoto wote wanaishi wakiwa hawana majibu na labda kamwe hawatakuja kuyapata πŸ’” .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…