Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Dah!.... hatari hii...

Ila kuna mazingira inabidi ujiweke 'low profile ' Ili uishi ila usijishushe kupindukia.
Kabisa mkuu. Kila kitu kwa kiasi. Usijishushe ukadharauliwa ila pia usijipandishe watu wakaamini huhitaji msaada, umekamilika.
 
Jibu ni ndiyo.
Na zinatofautiana pia na mkoa/ jiji
Perdiem ya mkoa haifanani na perdiem ya jiji.

Serikalini sijui
Wakuu Mimi naomba hiyo PDF ya serikali yenye muongozo wa malipo ya Perdiem kwa siku ili watu tujue,, isije ikawa tunapigwa mzee kumbe Perdiem ni hela nyingi si tunaandika kiduchu😃
 
Jibu ni ndiyo.
Na zinatofautiana pia na mkoa/ jiji
Perdiem ya mkoa haifanani na perdiem ya jiji.

Serikalini sijui
Wakuu Mimi naomba hiyo PDF ya serikali yenye muongozo wa malipo ya Perdiem kwa siku ili watu tujue,, isije ikawa tunapigwa mzee kumbe Perdiem ni hela nyingi si tunaandika kiduchu😃
 
Anapewa per diem ya kawaida, analala hiyo lodge lakn halipi yeye analipiwa na sponsor
 
Usishindane na mwanamke braza
Hata wewe na mimi hili nilichunguza wakati nasoma sekondari na dada yangu
Baba yangu alikuwa anampa matumizi dada yangu kuliko mimi
wewe hujiongezi hapo jamani
Mahitaji ya mwanamke ni zaidi ya mwanaume wewe usipopaka mafuta siku zinawenda kwa mwanamke sio hivyo
Msuko wa mwanamke tu wewe ni per diem yako.
Kumbuka dada zetu kila mwezi wanakwenda hedhi hiyo ni gharama pia
wewe unaweza vaa nguo ya ndani mwezi mzima mwanamke hawezi rudia nguo ya ndani mara mbili.
Wewe hata usipooga sio shida mwanamke ni wajibu kuoga hata wale wa mufindi na makambako
.
acha kuchunguza nyuki anatumia formula gani kutengeneza asali utachanganyikiwa
Wazungu na akili zao nyingi hadi leo hawawezi kutengeneza asali japo formular inajulikana
Utaonekana mchawi
 
Aisee!
 
Angekua mwanaume shangao lako lingekuwa la maana..ila kwa wanawake..
 
mi nalala eti had laki nalala
ukifa kesho je??
 
Wanaoishi na wewe kazi wanayo tena kubwa!!
Naona mshikaji bado ana mhemko, papara,mchecheto, ulimbukeni, ushamba n.k kwenye ajira yake mpya! Inaonekana alisota sana mtaani! Pitia mada zake utaona majivuno,dharau na kiburi kisa kapata kazi!
 
Sasa wewe inakuuma nini yeye akitumia hela yake kwa mambo anayoyataka yeye..? Hahah
Wanaume kama mabinti
 
Sisi tunalipiwa 5 star hotel, plus daily allowances. Kila mfanyakazi ana master card kwa ajili ya kulipia malazi. Ukiwa nje ya nchi unaitumia pia kwa malipo ya taxi na public transport
Naona huyu jamaa anajizima data tu!
 
Hela ya perdiem sio ya kununulia tofali mjomba 😂😂 pumzisha mwili huo ufanye kazi kiufanisi, kesho wakutoe tena kazi za nje ulambe perdiem nyingine.
Asante expert🤣
 
Kulala Lodge chini ya 100k ni ushubwada tu mkuu
 
Vitu vya bei rahisi ni shida tupu , unalala chumba Choo kinanuka kama nini! Siwezi nikalala kwenye huo uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…