Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

mkuu usiseme kwa sauti sana, hawa ndio wapangaji wetu.

uzi umefungwa!
 
Aya wale wanaotaka viwanja vya bei nafuu vipo. Tuna viwanja Vikindu 1.3M, Kibaha 2.4M, Goba, Kigamboni, Bunju na Mbweni. Nipigie 0762815104.

Viwanja vimepimwa na vina hati.
 
Mkuu una Fikra Fupi sana.. Kila mtu anainjoi maisha kwa namna apendavyo.. na hatufanani katika mizani za mafanikio.

Wewe mafanikio yako unayapima kwa kujenga etc. Wengine hupima yao kwa kumililiki macho matatu.

Ndio maana huwa napenda kusema "Mafanikio Makubwa katika Maisha ya Mwanadamu ni kuishi maisha yake kwa namna apendavyo"

NB: sina macho matatu wala kiwanja.
 
Correctomundo
 
Sisi wa tecno naona tujiachie tu hata zikiwa na macho sita....tunapitia mengi magumu, hatuna haja ya kununua viwanja

Hahah kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema kimeumqnq ,,,,acha kuwapanga watu waishi utakqvyo wwwe sio mungu
 
Yaani kuna watu akiwa na kiwanja basi anaona keshapatia maisha. Kila mtu ana kipaumbele chake ndugu tusipangiane. Kiwanja chenyewe umenunua huko kibaha ndanindani huwezi hata weka duka then unajisifu kuwa na kiwanja.
Sasa kaka tusiponunua maeneo yanaenda kuwa mbali zaidi
Umetuchomaaa kweli pesa zenyewe za kubahatisha
 
Huyo mzungu alikupanga mkuu, wao hawatumii tecno wala itel. Wanatumia IPHONE tu.
Anipange vipi niko nao nawaona?? unaweza kuta mtu ana pesa zake za kumwaga lakini wala hashobokei hio mi iphone ambayo privacy ya mtu ni zero!! Hivi unajua kwa nini blackberry ilikufa?? Iphone security na privacy ni zero. ukishajiingiza huko ujue ndio umejiingiza kua mtupu katika privacy.. anyway kila mtu ana vipya umbele vyake. Ila Samsung na simu nyinginezo ni salama zaidi kuliko iphone. subiri sasa hii iphone 13 iwe connected na covid vaccine πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hata hivyo kiwanja bado ni asset inayopanda thamani kila siku tofaut na kununua hiyo macho matatu ambayo huwez kuja kuuza kwa bei uliyo nunulia
Bado kiwanja ni Bora kuliko macho 3 hata kama haukiendelezi
Corectomundo bro
 
Kiwanja alichonunua mtu miaka ya 80s pale ubungo au magomeni asaiv anaweza kuuza shilingi ngapi??
Na mtu alienunua iPhone mwaka Jana na akitaka kuuza mwaka huu au mwaka ujao anaweza uza hio Simu bei hiohio??
Just think, kiwanja ni asset nzuri sana kuliko Simu, but kila mtu ana malengo ake na matamanio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…