ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,073
Leo wamezindua iphone 13 wawaonee huruma dada zetu,marinda yataisha n break za kuzuia kimba zinaisha...watafika mbinguni wamechoka sana
Kumbe Kisemvule kiwanja laki 5 siku zote hamtuambiii nyie watu
Acha iconnectiwe, na ndio maana halisi ya tecnology.Anipange vipi niko nao nawaona?? unaweza kuta mtu ana pesa zake za kumwaga lakini wala hashobokei hio mi iphone ambayo privacy ya mtu ni zero!! Hivi unajua kwa nini blackberry ilikufa?? Iphone security na privacy ni zero. ukishajiingiza huko ujue ndio umejiingiza kua mtupu katika privacy.. anyway kila mtu ana vipya umbele vyake. Ila Samsung na simu nyinginezo ni salama zaidi kuliko iphone. subiri sasa hii iphone 13 iwe connected na covid vaccine 😂 😂 😂 😂
Nadhani ungekuwa kwanza unachunguza kama ni Fake au original maana iPhone fake mpaka 10,000 unapata.Mwisho wa kuwasilisha
Wenye akili watakuelewa wasio nazo watabaki kubwabwaja tu.kijana
...Ana milki simu ya bei ya kiwanja kule mkoani
...anamiliki laini zaid4 na zote zna madeni
..Anamiliki nguo za gharama ukiunganisha zote kabatini unapata zaid ya milion1
....anawachanganya madem kama dj wa kisingeli, yan anawacontrol watu 10 bila wao kujijua
....ana marafiki wasap,fb, insta na bado uko normal text na mitaani&mikoani
....Kamaliza chuo
.....alpata mkopo by100%
....hataki kuondoka dar/mjini
.....hatak kazi ngumu
kijana kama huyu unamuwzesha vip? hafai hata kuaminiwa kupewa mkopo wa ujasiliamar maana tayar alivyo navyo ni mtaji tosha hawa ndyo wanaorudsha nyuma maendeleo ya hii nchi, na ndio hawa hawa wamejazana uko insta wakiuza vinguo online na kuuza sura zao wakishindana kujipost picha za location, hawa simu zao hazikos bando japokuwa hawana sources za kupata izo pesa za mabando
watu kama hawa wapo kila sehemu, na humu wapo pia hata comments zao utazitambua jinsi walivyo comment negative na hii thread, hawa hata nyuzi zao pendwa ni zile za hovyo hovyo zle senseless , hawa hawafai kuwepo JF maana wanaidharirisha maana ya great thinkers.
Duuuh!! Shubaaamiti waache wapange hadi kwa shemeji zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu usiseme kwa sauti sana, hawa ndio wapangaji wetu.
uzi umefungwa!
Atakuwa mwizi au tpKumbuka watanzania wanaonunua simu za mamilioni ni wachache sana.
Wengi wanamiliki simu kali kwa ujanja ujanja tu, unakuta mtu ana simu ya laki 9 lakini hajawahi kushika hala laki 5 cash ya kwake. Jiulize sasa simu alipataje [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
shida ni kwamba wanaomiliki iphone za milion 3,wanataka viwanja vya 12mln.Kama umemuelewa mtoa mada uza hiyo cm njoo vigwaza upate kiwanja mita mia mbili kutoka moro rd
Kweli kabisa unapata ila humu masihara mengiKumbe Kisemvule kiwanja laki 5 siku zote hamtuambiii nyie watu
[emoji23][emoji23]Kumbe Kisemvule kiwanja laki 5 siku zote hamtuambiii nyie watu
Daaaah[emoji24][emoji24][emoji24]Leo wamezindua iphone 13 wawaonee huruma dada zetu,marinda yataisha n break za kuzuia kimba zinaisha...watafika mbinguni wamechoka sana
Ndo wapi kinsemvule jmnUmenikumbusha mkuu,ile siku ya Yanga day nilienda zangu hukohuko kisemvule basi nikawa nachek mechi kwenye ki grosaly flani hivi ,kuna jamaa alikuwa anatafuta mteja wa kiwanja alikuwa anakiuza kwa laki 5 yaani nilishtuka sana
Haina shida mkuu kuna watu humu nimasihara kila kitushida ni kwamba wanaomiliki iphone za milion 3,wanataka viwanja vya 12mln.
toa icho kistika cha apple mkuu kama inawezekanaMtu kua na simu ya gharama si makosa,pengine umaridadi wake ndio unaoficha hali mbaya aliyokua nayo.
Basi ukimuona anasimu janja mtu kama wewe unapagawa
Mkuu usipangawe kwa vitu ambavyo hata Mimi naweza nikakutunuku.View attachment 1938290
NB:- wengi unao waona wana simu za iPhone wanakua na ndgu zao nchi za nje kwaiyo mtu kuimilik inakua rahis.