Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Okay kwanza nianze Primary 1999-2005 nilikua napendwa na mdada mmoja wa kuitwa Lucy,na mm pia nlikua nampenda ila sijui ilikua inakuaje nikimuambia nampenda yeye anakataa,ikafka mda yeye akaanza kunambia ananipenda na mm nakataa,

Kufika la Saba mwanzoni akatokea crush mwingine alikua dada wa mshkaji wangu alikua anasoma St.Anthony Mbagala alikua form two mm la saba,Damn nlimpenda yule mdada alikua msafi ananukia mda wote,nikirudi nyumbani najisemea kesho namuambia kuwa nampenda,nikimuona kesho mdomo unakua mzito,Huyu binti ilikua nikimuona moyo wangu unakua na amani sana!yani nilimpenda kweli.

O level nilimpenda binti mmoja white hivi[emoji24], nilianza kumuona stand,Nilikua nakaa Mbagala nikipita na gari Mtongani namuona ilikua form one 2006 na tulikua tunasoma shule moja,ila ile shule walikua wanatutenganisha kijinsia,(wanaume na wanawake wanasoma madarasa tofauti)
Kufika form three Mungu sio Athumani wala Mzee Mbonde tukapangwa darasa moja Damn!hisia zikazidi kuongezeka na ubaya zaidi nilikua ndo kichwa wa darasa[emoji4].Yule binti ilikua ikifka jumamosi nalaani kwa nn wikiendi haiishi ili nmuone!
Hatimaye nlimfungukia kuwa nampenda ila alinikataa kata kata kata mpaka tunamaliza o levo.
Baada ya kumaliza O level ikawaje......?
 
Hiyo ya kusema kesho ntamuambia imeondoka na wadada wawili nikiwa olevel bila ya lusema chochote, yani unakua unapanga kabisa hadi mistari ila ukimuona huwezi kusema, hatari sana
 
Pale longido sec palinitesa sana aisee, nilikapenda kale kasichana kwa mara ya kwanza nakaona (kalihamia). Sikuwa mtu wa kupnda kusali, ila nilianza kuhudhuria vipinfi vya dini na kwenda kanisani bila kukosa ili nimuone yeye tu. Mida ya usiku 'prepo' nilikuwa naends kusomea kwenye darasa lao. Kiufupi, sijawahi kupenda kama nilivyokapenda kale katoto.

Tulikuja kupitia mengi sana ila hatukuwahi kuwa pamoja. Yote kwa yote; R uligonga mhuri wa moto ndani ya moyo wangu, sitokusahau kwamwe.
 
Asikwambie mtu, yule crush wa utotoni hasa mara nyingi inakua shule ya msingi ni mapenzi ambayo yanavuruga sana hasa ukizingatia mara nyingi mtu mabae unampenda anakua hana ata habari au aanajua unampenda ila hana habari na wewe yuko busy na yeye na crush wake.
Nakumbuka nilipokua darasa wa tano ndo nilikua na crush huyo then kwao alikua kuna duka, bas kama siku sijaenda shule na sijamuina ni lazima nitoke nikamuone hata kama sikua na nia ya kununua kitu, bahati mabaya ilikua ni kijijini kwao hadi ufike unapita kwenye mapoli ila ilikua niko radhi, nakumbuka kuna siku nyingine nakwenda dukani usiku ili nimuone lakini nikitifika unakuta hayuko dukani unakuta mama yake au ndugu zake wengine, ila hata nikisia sauti yake tu huko ndani basi nakua na furaha.
sikuwahi kumueleza kua nampenda mana nilikosa lakusema nilipokua karibu yake, now ameolewa na hatuna mawasiliano ila mpaka sasa sijawai kuona ile hali tena . hakika yale yalikua true unconditional love.
Darasa la tano una umri gani? Bora hata useme form 2 au3, mtoto wa sarasa la tano ni mdogo hakuna anachoelewa tuwe wakweli, labda hawa wa kizazi hiki lakini sio enzi zetu
 
There sweet sweet confession in this thread....sio yale ma Uzi mengine ambayo hayatoi nafasi kubwa ya upendo kutamalaki duniani.
Mimi kama muumini wa Rastafarian
#peace and love
 
Kelvin alikuja na begi jipya na saa ya mkononi. Crush wangu akahama dawati, akaenda kukaa na Kelvin. Ilikua darasa la pili.

That was my first experience with a heart break and a gold-digger!
Surely she was a gold digger! Asili ya mtu haijifichi hata kidogo.
 
Okay kwanza nianze Primary 1999-2005 nilikua napendwa na mdada mmoja wa kuitwa Lucy,na mm pia nlikua nampenda ila sijui ilikua inakuaje nikimuambia nampenda yeye anakataa,ikafka mda yeye akaanza kunambia ananipenda na mm nakataa,

Kufika la Saba mwanzoni akatokea crush mwingine alikua dada wa mshkaji wangu alikua anasoma St.Anthony Mbagala alikua form two mm la saba,Damn nlimpenda yule mdada alikua msafi ananukia mda wote,nikirudi nyumbani najisemea kesho namuambia kuwa nampenda,nikimuona kesho mdomo unakua mzito,Huyu binti ilikua nikimuona moyo wangu unakua na amani sana!yani nilimpenda kweli.

O level nilimpenda binti mmoja white hivi[emoji24], nilianza kumuona stand,Nilikua nakaa Mbagala nikipita na gari Mtongani namuona ilikua form one 2006 na tulikua tunasoma shule moja,ila ile shule walikua wanatutenganisha kijinsia,(wanaume na wanawake wanasoma madarasa tofauti)
Kufika form three Mungu sio Athumani wala Mzee Mbonde tukapangwa darasa moja Damn!hisia zikazidi kuongezeka na ubaya zaidi nilikua ndo kichwa wa darasa[emoji4].Yule binti ilikua ikifka jumamosi nalaani kwa nn wikiendi haiishi ili nmuone!
Hatimaye nlimfungukia kuwa nampenda ila alinikataa kata kata kata mpaka tunamaliza o levo.
Kumbe ndo wewe mwamba "Lucy" alikuwa demu wangu.
 
Darasa la tano una umri gani? Bora hata useme form 2 au3, mtoto wa sarasa la tano ni mdogo hakuna anachoelewa tuwe wakweli, labda hawa wa kizazi hiki lakini sio enzi zetu
Kwan mdogo ndo Hana hisia?? Tofautisha kupenda na kufanya mapenzi,mi my first crush nilimpata nikiwa darasa la 3 nilitokea tu kumpenda mdada mmoja hivi tunasoma naye,nafurahia tu kumuona siyo kufanya mapenzi!!nikienda shule nisipomuona naumia natamani nijue amepata shida gani,jioni lazima nijipitishw njia ya kwao walau nimuone tu,mpaka wakawnza kunitania mchumbaangu

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulikuwa ZOBA kweli Mkuu! Au hakuwa mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]utoto raha alikuwa mzuri sema najiuliza hadi leo spati jibu
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Maggie, S, Najma....wawili wote wazazi wao walikua walimu tena wa sekondari mmoja wake mkuu mwingine wake msaidizi. Ila huyu mwngne ndio nilimtongoza tena mbele ya mdada mtoto wa mkuu wa shule yetu(hyu sista alikua std7 sisi 3), asee nilitukanwa siku ile. A year later nikahamia mkoani.....nilikuja kumla after 14 years alikua mburahati na ni baada ya kumuona fb.
 
aisee sorry to ask lakini i know its personal
Ukiolewa na mtu aliyekuzidi nusu ya umri unaenjoy kweli?? hata stori/utani unakuwepo kweli?? mbona kama wadada mnaishi na baba zenu indirect way

Au tension ipo kwenye good life?
Wapo watu wazima maskini vilevile,

tangu kukua kwangu nilizungukwa na wanaume wanaonizidi kuanzia 14-19 yrs wa kuposa, nikaingia ulimwengu wa mahusiano asilimia kubwa Ni hao hao age gape kubwa ilikuwa ni 21, hivyo nimewazoea sana, utani upo mwingi tu wengi wao wanadekeza sana, wanabembeleza sana, wavumilivu, wamepitia mengi ktk mahusiano wana uzoefu pia, kiasi Fulani wanajua kutuhandle wanawake, wana nguvu nyingi tu😋😋 kuwazidi nyie mabarobaro km wasiwasi wako Ni huo

Baba yangu alinipata akiwa na 20 yrs kwahiyo Ni kweli mi nimekuwa kimahusiano na wanaume ambao Ni agemate wa mzee, sijutii silaumu Wala siumii amani Raha na mapenzi yangu yapo kwa watu aina hiyo na naridhika kiroho Safi

Mume wangu niliyenae ananizidi 16 naenjoy saaaana
Hope nimekujibu mkuu
 
Shaasa kama alivopenda kujiita nakumbuka nikiwa naingia 4m2 ye alikuw anaingia f1 babaake alimpleka njee ya mkoa nakumbka likizo akiwa anaondoka nilikuw nasimam barabarani bus likipita ananipungia mkono nilimpenda sana tulitengana nae nilipomalza f4 nikiwa f6 alinitafta akniuliza kam ninampango nae au aolewe nilimjibu tu olewa mimi sio yule tena unae nijua nishabadilika sahiv anamtoto mm bado napambana n kimasihara.
 
Kwan mdogo ndo Hana hisia?? Tofautisha kupenda na kufanya mapenzi,mi my first crush nilimpata nikiwa darasa la 3 nilitokea tu kumpenda mdada mmoja hivi tunasoma naye,nafurahia tu kumuona siyo kufanya mapenzi!!nikienda shule nisipomuona naumia natamani nijue amepata shida gani,jioni lazima nijipitishw njia ya kwao walau nimuone tu,mpaka wakawnza kunitania mchumbaangu

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Aisee
 
Sophia na nyamizi popote mlipo daah nilipenda hzi totoz ila utoto nao ukichangia sikuweza kuwala ila walinifanya niwe naenda shule. Ikiwa msafi sanaa na nikiwa mtaani niwe msafi sanaa…but machoz yakifutika form 2 baada ya kuangukia kwa mtoto jina kapuni maana yupo humu…we were in strong feeling na akinipa heshima ya kuvunja bikra yake ilikua chini ya trekta la shule daah sitasahau..after school tukapoteza miaka.. ila mitandao ikatukutanisha tena tulichat kwa more than 4hrs na kukumbushana yoote ya shule..kaolewa na anamaisha bomba ila hajasahau tulivyoburuzana chini ya trekta mpk nikavunja ile kitu hilo hajasahau hata kipengele..life lina full of memories
 
Darasa la tano una umri gani? Bora hata useme form 2 au3, mtoto wa sarasa la tano ni mdogo hakuna anachoelewa tuwe wakweli, labda hawa wa kizazi hiki lakini sio enzi zetu
Nadhan wengi ni wakati huo mkuu hata mimi nadhani ni darasa la nne kuendelea, yale mapezi yanakuja wenyewe, hujui nini umependa ila ni yanahisia kali sana
 
Back
Top Bottom