Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Mwamke ambaye hayupo real kila kitu kwake ni maigizo kwa kifupi maisha ya tamthilia peleka kwenye ving'amuzi sometimes mi na-risk maisha yangu nafanya kazi saa nyingine hakuna kulala
 
Mwanamke mjuaji aisee huwa ananiboa sana, huwa hawachoki kuongea
 
Mwanaume mwizi, muongo, mmbeya, mchafu, kiwembe na sifa nyingine kama hizo hana nafasi kwangu.
 
Mwanamke asiye msikivu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Na wewe pia una’kaujinga na ka’ushamba flani hivi badirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…