Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Ungemjib umezoea kuishi kwenye nyumba siyo chumba
 
Alikuona fala sana
 
Kwa kweli vigezo ni vingi kwa kuvitaja, lakini trust me mwanamke aliye muongeaji sana ana kata stimu vibaya mnooo
Kwa wanaume tusio waongeaji tunapenda wanawake waongeaji..ni mwendo wa kuitikia tu mhuu..thou kuna wakati wanaboa sana mana unatamani utulivu yeye anabwabwaja domo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanamke ambaye ukimtania kuwa ntakutoa outing,yeye anashikilia bango,kila saa anakumbushia,na ukimwambia nilikuwa nakutania basi ananuna balaa...
 
Watu wambea, eeh Mungu niondolee hawa mbwa kwenye maisha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…