Nini hicho ndugu 🤣🤣🤣nishirikishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Umenikumbusha kituuuu dadaa kuna mtu huwa nikimfikiria simpatii majibu kabisa hahahaaa!!
Anyways
Hebu niendelee kusoma koments mie
[emoji144][emoji144][emoji144]
Khakhakhaaaa!!!Namwogopa mwanaume ambaye nampa nafasi anikule afu yeye ananisubirisha....nahisigi Kuna walakini na mkuyenge wake....[emoji849]
Value for money...hili nalo muwe mnazingatia🤣🤣🤣Mwanaume mbahili.
.
Kuna demu nilitoka naye dinner sasa wakati wa kula akawa anatumia ile mikucha meupe ya bandia kushika chakula ale nilijionea kinyaa asee.Binafsi mwanamke anaebandika kope na kucha bandia ndo simtaki.
Kwa tabiaaaaa .... Mwanamke muongo kwangu n Zaid ya hasimu
Mimi demu akinichelewesha na tulishakubaliana anakula ban ya maisha😔inaumiza sana au nadanganya The Icebreaker ?
Ukute mbahili alfu maneno mengi......alafu kujisifia.....🙆🙆🙆🙆🙆unamkimbia kweny mataa tu ,Mungu anisameheMwanaume mbahili.
.
Huenda naye ameamua kufanya hivyo ili akufukuze🤣🤣🤣Ukute mbahili alfu maneno mengi......alafu kujisifia.....🙆🙆🙆🙆🙆unamkimbia kweny mataa tu ,Mungu anisamehe
🤣🤣🤣Ukute mbahili alfu maneno mengi......alafu kujisifia.....🙆🙆🙆🙆🙆unamkimbia kweny mataa tu ,Mungu anisamehe
Yan kama jini vile... Af ukute kabandika na kope😁, unaeza kumkimbia anKuna demu nilitoka naye dinner sasa wakati wa kula akawa anatumia ile mikucha meupe ya bandia kushika chakula ale nilijionea kinyaa asee.
Ile mikope huwa siipendi asee. Makeup ikizidi naonaga wanawake huwa hawapendezi wanakuwa vituko tu. Makeup ya kiasi huwa inawapendeza haimtoi kwenye uhalisia wake sura yake ilivyoYan kama jini vile... Af ukute kabandika na kope😁, unaeza kumkimbia an
Uhakika mkuu, mana cjui walishadanganywa na Nan....Ile mikope huwa siipendi asee. Makeup ikizidi naonaga wanawake huwa hawapendezi wanakuwa vituko tu. Makeup ya kiasi huwa inawapendeza haimtoi kwenye uhalisia wake sura yake ilivyo
Mhhh ety Nina daladala mbili mara nina biashara yangu fulani imekua hivi na hivi mara sijui mtu fulani mashuhuri nlikua nae akaniomba namba badae ananipiga mizinga........Mie namchora tu hyo siku kasema jion tutoke ntakughalamia kila kitu nkasema sawa kufika anauliza bei ya maji, anauliza hadi bei ya kinywaji nlichoagiza.... nkamwambia muhudu mi ntajilipia na huyu atajilipia nlikua nmetoka kupokea pesa ya kikoba........ akasema tuagize chakula nkaagiza kuku akauliza ni sh ngap me nkamwambia ntajilipia nkaagiza kuku mzima nusu afunge nusu nakula hapo hapo.......nkala peke yangu huku anatoa mimacho nkamaliza nkamblock hapo nmekaa nkampa elfu kumi ya nauli nkaita taxi huyo masafaHuenda naye ameamua kufanya hivyo ili akufukuze🤣🤣🤣
Kuna Ile ya bei ndogo anakua kama ndege John lkn Ile ya kubandika kinywele kimoja kimoja uwez jua kama kaweka kopeIle mikope huwa siipendi asee. Makeup ikizidi naonaga wanawake huwa hawapendezi wanakuwa vituko tu. Makeup ya kiasi huwa inawapendeza haimtoi kwenye uhalisia wake sura yake ilivyo
Possibly anakuwa hajakuelewa" tufunge post🤜Possibly anakua hajakuelewa labda lakini wanaume Wengi wao huwa hawaangalii hilo wengi wao ukijilengesha wanakupitia tu ukafie mbele sasa huyo wa kuletewa P hadi mdomoni kushangaa shangaa tu kweli kuna walakini!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mhhh ety Nina daladala mbili mara nina biashara yangu fulani imekua hivi na hivi mara sijui mtu fulani mashuhuri nlikua nae akaniomba namba badae ananipiga mizinga........Mie namchora tu hyo siku kasema jion tutoke ntakughalamia kila kitu nkasema sawa kufika anauliza bei ya maji, anauliza hadi bei ya kinywaji nlichoagiza.... nkamwambia muhudu mi ntajilipia na huyu atajilipia nlikua nmetoka kupokea pesa ya kikoba........ akasema tuagize chakula nkaagiza kuku akauliza ni sh ngap me nkamwambia ntajilipia nkaagiza kuku mzima nusu afunge nusu nakula hapo hapo.......nkala peke yangu huku anatoa mimacho nkamaliza nkamblock hapo nmekaa nkampa elfu kumi ya nauli nkaita taxi huyo masafa
🤣🤣🤣🤕Khakhakhaaaa!!!