Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Acha kabisa.
Unakutana na binti anakuvutia.
Day one
Narudia day one
Mnatoka out yaani anakutwisha shida za UKOO WAKE zote tena hapepesi macho heee.
Sijui niseme???🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Poleni wanaume mmeumbwa mateso.........Yani ukiona hvo ujue huyo mtu akutaki ndo anakukimbiza hivo
 
Ww ndio kama mimi hizo ndio style zangu, nikishamla tu bhas tena😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Poleni wanaume mmeumbwa mateso.........Yani ukiona hvo ujue huyo mtu akutaki ndo anakukimbiza hivo
Ohoo kuna wanawake hawana akili dunia hii wewe.
Sasa kama hakutaki si asingetokea kwenye hiyo out?
Haina haja ya kumpa mtu hata namba ya simu kama humtaki eti
 
Acha kabisa.
Unakutana na binti anakuvutia.
Day one
Narudia day one
Mnatoka out yaani anakutwisha shida za UKOO WAKE zote tena hapepesi macho heee.
Sijui niseme???🤣🤣🤣
Demu mkionana tu njaa inamuanza.
 
M'ume Mjuaji, mbinafsi, mwenye majivuno na kujikweza, mpumbavu, mlevi, mvuta sigara, mpenda ngono km chakula, maskini nasema maskini sabbu siku akipata matako hulia mbwata..
 
Acha kabisa.
Unakutana na binti anakuvutia.
Day one
Narudia day one
Mnatoka out yaani anakutwisha shida za UKOO WAKE zote tena hapepesi macho heee.
Sijui niseme???🤣🤣🤣
Themaaaa!! 🤣😂!
Hapo Hamu zote zinakata khakhakhaaaa!
 
M'ume Mjuaji, mbinafsi, mwenye majivuno na kujikweza, mpumbavu, mlevi, mvuta sigara, mpenda ngono km chakula, maskini nasema maskini sabbu siku akipata matako hulia mbwata..
Bidada ulipotelea wapi
 
Themaaaa!! 🤣😂!
Hapo Hamu zote zinakata khakhakhaaaa!
Unajua mwanamke kuomba pesa au kusaidiwa sio tatizo ni sawa kabisa..
But timing.
Day one huwezi kujikaza!!!!
Why usivumilie kidogo tu huenda hata yeye atakupa bila kumuomba?.

Pili ukisubiria mahusiano yakikolea na mmezoeana ndipo muanze kushirikishana na hayo ya kiuchumi.
 
So ulitatua Shida za ukooo?? 🤔🤔 Mahusiano ishakua biashara sikuhizi inasikitisha sana!!!
 
Ohoo kuna wanawake hawana akili dunia hii wewe.
Sasa kama hakutaki ai asingetokea kwenye hiyo out?
Haina haja ya kumpa mtu hata namba ya simu kama humtaki eti
Mwanamke awezi kua na akili kirahisi......siku ya kwanza muite geto siku ya pili hata akizingua ushamla hasara kwake🤣🤣🤣🤣
 
So ulitatua Shida za ukooo?? 🤔🤔 Mahusiano ishakua biashara sikuhizi inasikitisha sana!!!
Hahaha tuyaache hayo totoo but huwa nacheeka sana.
Kuna mtu unaweza kumpenda na ukatamani kabisa hata umsapoti but yeye anaanza kujiharibia mapema.

Namna bora ya kum win mwanaume.
Epuka njaa ndogo ndogo za mapema.

Kuwa na subira
 
Yeah anakua kajiharibia mwenyewe kwa kuendekeza njaa !!
Santo sana kwa hili desa totoo!!
 
Mwanamke awezi kua na akili kirahisi......siku ya kwanza muite geto siku ya pili hata akizingua ushamla hasara kwake🤣🤣🤣🤣
Ndg yangu ukiona mwanaume anakuita geto day one na anataka mbususu siku hiyo hiyo pole hapo umekosea.
Kwa kifupi amekudharau kuwa wewe ni cheap.

Nafikiri ujinga huo sijawahi kufanya na sitarajii.
Sipendi mwanamke cheap kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…