Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndg yangu ukiona mwanaume anakuita geto day one na anataka mbususu siku hiyo hiyo pole hapo umekosea.
Kwa kifupi amekudharau kuwa wewe ni cheap.

Nafikiri ujinga huo sijawahi kufanya na sitarajii.
Sipendi mwanamke cheap kiasi hicho
Me nazungumzia wanawake Wapenda vitonga hyo ndo dawa yao

Alafu wadada wa sa hv wakiombwa namba wanachowaza ni kukunwa na pesa......Kuna mabinti wa ovyo sana mkuu
 
Sijawahi kudate mwanamke aliyeniletea pigo sizo. Sina malalamiko yoyote.
 
Me nazungumzia wanawake Wapenda vitonga hyo ndo dawa yao

Alafu wadada wa sa hv wakiombwa namba wanachowaza ni kukunwa na pesa......Kuna mabinti wa ovyo sana mkuu
Sekta ya mapenzi umechafuka sana
 
Mwanamke mlevi
 
Me nazungumzia wanawake Wapenda vitonga hyo ndo dawa yao

Alafu wadada wa sa hv wakiombwa namba wanachowaza ni kukunwa na pesa......Kuna mabinti wa ovyo sana mkuu
Yaa nakuelewa hapo niliongelea jenero rafiki yangu
 
Ndg yangu ukiona mwanaume anakuita geto day one na anataka mbususu siku hiyo hiyo pole hapo umekosea.
Kwa kifupi amekudharau kuwa wewe ni cheap.

Nafikiri ujinga huo sijawahi kufanya na sitarajii.
Sipendi mwanamke cheap kiasi hicho
Sio kweli kuna manzi mmoja nilimwita ghetto day 1 na nilimla na akawa ni girlfriend wangu hiyo inategemea binafsi nilifanya hivyo kwasababu nilikuwa kwenye nyege lakini pia ni manzi Nilimpenda kwa moyo ilinilazimisha nimwite ghetto kama nilivyokwambia nilikuwa nina nyege mno sijafanya sex kama miezi 7 hivi sio kwamba demu unamwita ghetto day 1 eti umemdharau la hasha!
Mawazo ya Lovelovie yapo sahihi
 
Japo na lalamika ila nataka nisiwe na mwanaume mwenye kelele mwenye hasira zisizoeleweka anawaka anaongea kila wakati hanashukurani hana msaada wowote huyo namuogopa sana
Utapata muombe Mungu
 
Nakumbuka hii story brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…