Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Hahaha tuyaache hayo totoo but huwa nacheeka sana.
Kuna mtu unaweza kumpenda na ukatamani kabisa hata umsapoti but yeye anaanza kujiharibia mapema.

Namna bora ya kum win mwanaume.
Epuka njaa ndogo ndogo za mapema.

Kuwa na subira
Si ndio huu ujinga tulifanyaga? Kwa pro max!! Matokeo yake ndio tukamfundisha uchoyo mazima ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Lenie
 
Ety babe sijakula.......Kipindi ujawa na mahusiano na mim ulikua unakula wapi.... wanaume wananakazi ccy ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wanawake wenye akili wapo wachache wengine unawashangaa kabisa wanakula hadi nauli naatokei unajiuliza hizi ni njaa za namna gani alafu hela yenyewe ya nauli ni 5000 uliomtumia
 
Aisee wanawake wa namna hii wanaboa....mnapanga kuonana alafu last minute anakuja na kisingizio. Wanakera sana tuu.
 
Wanawake wenye akili wapo wachache wengine unawashangaa kabisa wanakula hadi nauli naatokei unajiuliza hizi ni njaa za namna gani alafu hela yenyewe ya nauli ni 5000 uliomtumia
Wengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila nauli ina ka utamu kake ๐Ÿ‘Œ Lenie

Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe ๐Ÿ‘Œ๐Ÿค—๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
we ni mmeru? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimezoea kuona wameru na chaganian sana wakitumia totoo
Unafahamu vyema mimi sio mzaliwa wa kaskazini๐Ÿ˜‚
Hili neno totoo nalielewa sana...acha nisitoboe siri totoo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Unafahamu vyema mimi sio mzaliwa wa kaskazini๐Ÿ˜‚
Hili neno totoo nalielewa sana...acha nisitoboe siri totoo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Naona linatumika sana huku

Kuna married kapo mbili nazijua wote mume na mke wanaitana totoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ