Naona unatusagia dada πππMe nazungumzia wanawake Wapenda vitonga hyo ndo dawa yao
Alafu wadada wa sa hv wakiombwa namba wanachowaza ni kukunwa na pesa......Kuna mabinti wa ovyo sana mkuu
Totoo lina maana 2 kwa wameru na waarusha.Naona linatumika sana huku
Kuna married kapo mbili nazijua wote mume na mke wanaitana totoo
Mkuu nakuaminia sana kwa kunyata.Acha uchokozi
Kabisa mkuu na wale wa kuomba nauli na atokei kwenye miadiAisee wanawake wa namna hii wanaboa....mnapanga kuonana alafu last minute anakuja na kisingizio. Wanakera sana tuu.
Tako, shepu, mguu, sura, tumbo flat, boobs nzurinzuriMimi haya sitaki hata kuyasikia sahizππnajionea maluelue tu wanaume hamuelewekag mnatak nn
Hii ni mbaya Sana sometime inawaharibia taswira hata kama mtu anataka relationship yenye malengo anahailisha mwanaume yoyote ukitaka kumfaidi epuka hulka au njaa za ovyo kuwa smart kichwani atakuwa anakupa yeyemwenyewe bila sometime hata kumuomba tofauti na hapo atakuona ni mdangaji hiyo mbinu sio nzuri kutokana na tafsiri ya WanaumeWengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia
ππ ila nauli ina ka utamu kake π Lenie
Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe ππ€π€£π€£
Tatizo mkiachwa nanyi mnajisahau πHii ni mbaya Sana sometime inawaharibia taswira hata kama mtu anataka relationship yenye malengo anahailisha mwanaume yoyote ukitaka kumfaidi epuka hulka au njaa za ovyo kuwa smart kichwani atakuwa anakupa yeyemwenyewe bila sometime hata kumuomba tofauti na hapo atakuona ni mdangaji hiyo mbinu sio nzuri kutokana na tafsiri ya Wanaume
Huyo ambaye ukimuacha kumuomba anajisahau ujue huyo akupendi Mwanaume akipenda anapenda kutoa labda itokee akiwa hanaTatizo mkiachwa nanyi mnajisahau π
Muhimu kila mtu ashinde mechi zake za mtaani..
Mitandani humu tunadanganyana sana
Wanakimbia majukumu madogo madogoπWengine sio njaa .. wengine wanakuwa wanawatimua kijanja..
Ama wengine uoga wa first meeting anaona bora avunge asije.. na hapo unakuwa ushamtumia
ππ ila nauli ina ka utamu kake π Lenie
Mimi kabla sijala uwa nakupa taarifa kwamba huo mzigo lazima uliwe ππ€π€£π€£
My wangu ww sio mpenda kitonga nakuja vzuri sana....we sio kama wale panya road wa kikeπ€£π€£Naona unatusagia dada πππ
Hahaha kama bundi jikeπ€£π€£π€£
Kama shankupe
Tatizo watoto wa kike wanadhani akitoa mbunye tu ndio anastahili hela! πππSophy;
Mwanaume anapokuja kwako kuna kitu anatafuta na hicho akikipata na moyo wake ukafurahi pesa si kitu atakupa utakacho sawa na uwezo wake.
Vitu hivyo vyaweza kuwa;
Furaha ya moyo kwa jinsi utakavyo muhandle,
mvuto wako wa nje akitegemea na ndani ndivyo ulivyo,
hekima na busara zako,
ushauri mzuri nk ..hapa ukiweza kuuteka moyo wake umevipata na vyake vyote.
Mwanamke mzuri.. alafu mvivu huyo huwa anakuwa kama lile bomu la kurusha na mkono [emoji23]Habarini wanajamvi . Natumai n i wazima wa afya.
Kam mada inavyosema. Kwa upande wakounamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo daaaaahh ananikata stimu kabsA yan. Niliwahi kudate na mwanamke miaka mitatu kumbe nimedanganywa nyumbani kwao yan anapoishi na hata kabila lake..
Kwa upande wenu imekaaje hii.?
Wanajua eti hatuchomoi kwenye mbusu hahaha, wanadinganyaTatizo watoto wa kike wanadhani akitoa mbunye tu ndio anastahili hela! πππ