Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Hana furaha wala amani?

Mwanamke aliyefanya mambo yake kisiri siri na amekuja gundua hiyo siri itavuja muda wowote hawezi kuwa na amani wala furaha..

Chakula cha ndoa anakupa kama kawaida kama ulivyodaia!!
Hili ni tatizo tena kubwa na unapaswa kuanza kuchukua tahadhari mapema maana inavyoonekana kuna jambo huenda amelifanya huko na ana amini umeshalijua..

Mwisho: huo ni msongo wa mawazo unamtatiza na tiba ni akueleze ni kipi kinamsumbua..

Mwanamke niliyemwamini alikimbia kwa sababu tajwa hapo juu.
 
Sometimes chelewa kurudi home ukirudi usile mwambie umeshiba, atakuongelesha mwenyewe
 
Ukikua utaacha ujinga huu.

Huenda amemuona ex wake yupo na demu mwingine.

Wanaume 75% wanaishi na wake za watu, ninamaanisha uko naye kimwili lkn mapenzi yake yapo kwa mwingine.

Akimuona yupo na mpenzi mpya yeye huku anakufa na wivu.

Ipo siku utanielewa
 
Umewaza kama nilivyowaza.

Pia ni rahisi sana kukwambia ukweli ukiwa smart.

Jifanye kuwa hupendi kumuona akiwa vile na uko tayari kumsamehe kabisa akisema ukweli.
 
Usitupie lawama zote kwa wanaume.
Kwenye mahusiano ni wajibu wa kila mmoja kuujenga uhusiano.

Kwa point zako unataka mwanaume awe mtumwa?

Mwanamke mjinga hata umpe na figo hatosheki na atakuacha.

Tena wanaume tuna huruma sana.

Mwanamke unaweza kumpa kila kitu, lkn siiu moja tu ukikosa anakuacha
 
Nataka nimforce afunguke..
Naleta mrejesho soon.
Kuna kitabu kinaitwa men are from mars women are from venus, kuna chapters zinaelezea "men are like rubber bands women are like sea waves" hapo utapata majibu yako.....kama unajua haujamkosea usimlazimishe muache ni kipindi tu kitapita.
 
Nataka nimforce afunguke..
Naleta mrejesho soon.
Usimlazimishe, mshawishi kwa upendo wa hali ya juu.
Ingekuwa mimi nitampa out ya nguvu na kumpatia kile apendacho.

Nitambembeleza sana kiasi kwamba akiqa na dhambi yake aiseme bila woga ukizingatia nimemjengea mazingira ya kuwa salama akikiri.

Mbinu hii niliwahi kufanikiwa mara 2 kwa x gf.

Tahadhari...wanawake anaweza kukwambia ukweli ulionyooka kwa ghafla kumbe ni uongo 100%
 
Kuna kitabu kinaitwa men are from mars women are from venus, kuna chapters zinaelezea "men are like rubber bands women are like sea waves" hapo utapata majibu yako.....kama unajua haujamkosea usimlazimishe muache ni kipindi tu kitapita.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shukuru wa hivyo anaekufa na tai yake.
Na Sio wale wanaokuwashia moto kwa simu huko huko job kabla ya kurudi home ukijua Leo kimewaka ngoja ukamate kwanza k vant upate stimu ya kufunguliwa geti home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…