Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Umewaza kama nilivyowaza.

Pia ni rahisi sana kukwambia ukweli ukiwa smart.

Jifanye kuwa hupendi kumuona akiwa vile na uko tayari kumsamehe kabisa akisema ukweli.
Mikopo ya mitaani inawatesa kina dada / kina mama sana .. Wanakopa kwa dhamana ya kitanda, TV na makochi ya waume bila kushirikisha waume zao ... Wakikosa marejesho wanaendeleza kufanya mambo ya siri ili wapate marejesho na muda wote wanakuwa kwenye msongo mzito wa mawazo..
 
Mtoe out,mkachome nyama MAHALI jioni jioni!!

Kaeni sehemu tulivu muongee!!

Hakikisha nyama na kinywaji vinamkolea VIZURI!!

Atafunguka pole Pole man!!
 
Una safari ndefu sana katika maisha kwa mentality hii
 

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
daah! Umeenda mbali sana, kwenye hela?!!!!!!
 
Kuna muda mood inakuwa off tuu, wanawake hasa mama wanapitia mengi, majukumu ya nyumbani plus malezi yanachosha sana kiasi kwamba hata mtu akikuuliza shida nini huwezi hata kuelezea.
Sawa sikatai lakini ndo ushindwe kumwambia honey wako?.. Sasa utamuambia Nani kweli Kama usipomuambia mume wako
 
Mi nawazaga huenda hizi dawa za uzazi wa mpango Kuna namna inaharibu Utendaji kazi mzuri wa ubongo wa mwanamke. Na pia we mwanamke unaenunanuna utanuna Mpaka lini?. Mana Kama kuna shida kaa na mwenzako chini muyamalize, unazeeka mapema na presha juu kisa tu Mambo yasiyo na msingi, Familia yako ndio kila kitu, Na familia yenye afya Ni yenye furaha na mawasiliano mazuri.
 
😁 unamsikitikia Kumbe yeye anasikitika mchepuko wake kamnunia kisa anahasira za kuumizwa na mpenzi wake.Uboya juu ya uboya
 
Watakuchukia sana kwa hii statement yako shemegi....
 

Hapa tunajadili sanamu lako tulijenge kwenye jukwaa gani? [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…