Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Siwezi kukuelewa kweli
Na hao wanaume wanaolalamika kuhusu pesa ni masikini na hawana upendo
Mwanaume akikupenda atizizami sura wala tako,
Hao masikini ndo hivyo wanatafuta pesa hili wapatehizo pesi nyenye[emoji23],,,,,,,,,,,wakichunwa huko wanaanza kulia
"Kama umempenda mwanamke haijalishi yupo vipi,bali mbadilishe awe vile unataka weww"
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliposema nyota..
Washamba ndo wanapapalika na hivyo vivutio,Ila kikubwa zaidi ni vivutio vya asili
Anazo za kutosha na mie ni pisi mbovu kishenzi,hadi najiuliza kavutiwa na nini kwangu??Huwezi kunielewa Kwa vile wewe ni mwanamke, ungekuwa mwanaume ungenielewa.
Mwanaume hana nguvu Kwa pisi Kali wewe tatizo hujui nikisemacho,
Muombee mumeo apate pesa ili ujue tabia zake halisi. Wengi wanaume tunaigiza tukiwa hatuna kipato.
Masikini ndio tunaongoza Kwa Unafiki.
Siku tukipata pesa ndio tunakuwa Real[emoji3][emoji3]
Anazo za kutosha na mie ni pisi mbovu kishenzi,hadi najiuliza kavutiwa na nini kwangu??
Wanaume bana,poleni
TAFUTENI PESA,
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume tafutenii pesaa...ka huna pesa mbinguni hutopaonaa hakyiii ya walahiii shweetaniii
Hahahahhahahahahahahah,,[emoji3][emoji3][emoji3]
Kujipa Moyo ni moja ya nguzo muhimu kwenye maisha.
Ukiona mwanamke ni pisi mbovu Kama Mawardat[emoji4][emoji4] alafu mumeo anapesa anakung'ang'ania ujue unanyota ya Pesa.
Yaani wewe ndio mzizi Mkuu wa pesa zake kiroho. Hiyo ipo.
Na wanaume tukiwa na wanawake wabovu Kama nyie mkawa na. Nyota Kali huwa tunawanyenyekea Kama miungu hata mfanye kosa gani hatuwafukuzi[emoji3]
Ila elewa Jambo lilelile mwanaume mbele ya pisikàli ni Sawa na mbwa mbele ya chatu
Na hakuna kauli inayomuuma mwanaume kama akiambiwa "atafute pesa"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleniInauma Sana ukiambiwa na Mwanamke mbovu Kwa sababu unajua kabisa hata siku ukipata hizo pesa huwezi tumia Naye.
Kuna mwanamke hata asipokuambia tafuta pesa mwanaume mwenyewe unajua hapa ninatakiwa kutafuta pesa.
Ndio maana mwanaume fukara akipendwa na pisikali huwa atamuambia Sitaki kukutesa, uwezo wangu ni wachini, sitaki uteseke.
Lakini akikutana na Wale Sura mbovu hakuna mwanaume atakayesema hiyo kitu.
Sawa,hongereni kwa kubarikiwa pisi kali kwaajili yenu.Mwanaume hapewi pole Mkuu.
Pole wanapewa Wanawake na watoto.
Yesu alisema; msinililie Mimi jililieni ninyi na watoto wenu[emoji3][emoji3]
Mwanaume tumeumbwa Kula Kwa jasho, hiyo ndio silika na Asili yetu, huwezi muonea huruma mtu Kwa asili na silika yake.
Ati umuonee huruma mwanamke Kwa kupata mimba au kujifungua, hiyo itashangaza Dunia.
Utamwambia hongera
Asanteee yan demu kama hueleweki sura huna, tako huna, guu huna, pambana utafute pesa usitegemee mwanaume apate pesa akupe labda umrogeeeee....
Mnakriri sana tatizo kubwa hilo.Asanteee yan demu kama hueleweki sura huna, tako huna, guu huna, pambana utafute pesa usitegemee mwanaume apate pesa akupe labda umrogeeeee....
Kuna binadamu hata ukiwafungia pale jikoni Serena Hotel hawezi kuongezeka hata kidogo..Siwezi kukuelewa kweli
Na hao wanaume wanaolalamika kuhusu pesa ni masikini na hawana upendo
Mwanaume akikupenda atizizami sura wala tako,
Hao masikini ndo hivyo wanatafuta pesa hili wapatehizo pesi nyenye[emoji23],,,,,,,,,,,wakichunwa huko wanaanza kulia
"Kama umempenda mwanamke haijalishi yupo vipi,bali mbadilishe awe vile unataka weww"
Sent using Jamii Forums mobile app