Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

Zahra matashtiti upo?
 

Fungu la kukosa ni kama swala mbugani, anatishwa mpaka na nyasi
 
naelewaga sana nyuzi zako mkuu.endelea kutupa madini.be blessed ma niga
 
Hahahahahaha mbavu zangu! Taikon umeeleza vizuri sanaaaa! Tubinti tea siku hizi ni shida!. Twingine vimakalio hakuna Bado vinavaa visuruali.... Yaani kama mdoli unatembea bara2ni! Hahahaha...
 
Umeupiga mwingi ila ngoja nimwambie Maxence Melo afute uzi maana unazaririsha Dada zetu
 
Dah...sawa acha niendelee kuzisaka pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…