Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Wewe ni kafiri acha shobo na kujipendekeza kwa waislamu na kuufatulia uislamu.

Deal na ukafiri wako.
 
Unajua kwa nini Mungu alimfanya mtume hajui kuandika wala kusoma kilichoandikwa?
Kuku outsmart na utopolo wako huu ulio uandika.
Embu elezea kwa nini Hapa alitaka kuandika

Ibn `Abbas said, "When Muhammad (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) said, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Muhammad said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate that Muhammad was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise." Sahih al-Bukhari 4432
 



Hakuna chuki wala nini!

Yani kusema ukweli ndio kuwa kafiri?

Mbona hata madaktari wamekuwa wakisema mapungufu ya namna ya kufuturu tena madaktari waislamu?

Kwa hiyo nao ni makafiri na wanachuki na waislamu?

Hakuna chuki ni upendo tu isipokuwa ukweli lazima usemwe!
 
Kwani mkuu tunaabudu Mungu mmoja au?
 
Mimi nakula nnavyotaka na huna la kunifanya.

Na ukichukia mimi kula sana kajinyonge.
 
Wewe ni kafiri acha shobo na kujipendekeza kwa waislamu na kuufatulia uislamu.

Deal na ukafiri wako.



Usijifiche kwenye kujificha kwenye mwamvuli wa kuita makafiri.

Kama siyo kafiri siwezi kuwa kafiri kwa wewe kuniita kafiri.

Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!

Madaktari nao unawaita makafiri?

Tafakari ukweli chukua hatua haki afya!
 
Mimi nakula nnavyotaka na huna la kunifanya.

Na ukichukia mimi kula sana kajinyonge.


Tangua apo Kwani kuna mtu atakuja kukushika mkono usile jasho lako?

hapa tunajadili tu lakini uamuzi wa kubadilika ni wa mtu binafsi na familia yake , hiyo ni obviously wala usi-panic bure!

Kama ni gharama unalipa mwenyewe, kama ni kweli inaathiri afya basi mchuma janga hula na wakwao!

Achukie nani na kwa sababu gani?!

Hajinyongi mtu!

Ni majadiliano tu ya jamvini ,

Una hiyari ya kuyafanyia kazi au kuyapuuza!
 
Usijifiche kwenye kujificha kwenye mwamvuli wa kuita makafiri.

Kama siyo kafiri siwezi kuwa kafiri kwa wewe kuniita kafiri.

Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!

Madaktari nao unawaita makafiri?

Tafakari ukweli chukua hatua haki afya!
Mimi nna afya maradufu ya wewe takataka ya kikafiri.

Nafunga huu mwaka wa 36 mfululizo na nakula sana wakati wa kufuturu na sina tatizo lolote la kiafya na nadunda tu.

Ukisimamishwa wewe na mimi utaonekana una unyafuzi.

Again acha kudandia maisha ya waislamu na kujifanya unajua kushauri.

Hujaombwa ushauri wowote na waislamu.

Kama ushauri kamshauri baba ako na mama ako mzazi.

Sawa kijana?
 
Mbona mnakuwaga na uhuni mwingi tu!Mkiambiwa mjirekebishe.
 
Wanabadili ratiba ya msosi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], Povuuu jingi.
 



Acha kuwa na mihemko na makasiriko ya mijadala ya kijamii!

Jifunze kukomaa kisaikolojia!

Halafu nimeshakupima na kuona uwezo wako wa kufiri na kuelewa mambo uko limited!

Werevu huwa wanapokea mawazo ya wengine na changamoto kisha kuyafanyia kazi na kuona kama yana mantiki badala ya kuwaita makafiri!

Wewe mwenyewe mbele ya mwarabu ni kafiri tu vile vile !
 
Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Amefunga kula tu!!!
 
Mkuu wewe ni mchokozi, kwanini usiache watu wafanye kile wanachoamini na wewe ufanye unachoamini? Pia kumbuka kuwa kufunga kuko kwa aina nyingi.
Yeye si Anataka tu kujua??. Kwani kuna ubaya mtu kutaka kueleweshwa jambo linalomtatiza??.
 
Teeh teeh binti mbona una shobo sana.

Yani ujaombwa ushauri unajifanya unatoa ushauri!

Huu ni usomi wa wapi?

Jifunze ku deal na yanayokuhusu.

Nyie mbona mnafakamia nyama za nguruwe na zina madhara kemkem lakini amuachi licha ya kuelezwa ukweli.

Jifunze kudeal na yanayokuhusu.

Ukiwa huna la kufanya kakikumbatie hata kile kisanamu chenu mnachokiabudu uji keep busy.

Sawa binti?
 
Wakina nani wameingiliwa; na wameingiliwa kivipi?. Kwamba anaefunga usiku ana tofauti gani na hawa wanaofunga mchana kiasi wanaoiga piga kelele kuhusu kufunga kwako tofauti na wanaofunga usiku ambao hawapigipigu kelele juu ya kufunga kwao?
Since when kukaa njaa usiku kumeanza kuwa regarded, perceived kama "kufunga" globally?
 
Tafsiri ya kufunga kila mtu na Imani yake na uwezo wa afya yake.Na kila mmoja yupo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…