Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Yote hayo hayakuhusu acha kusumbua kichwa chako kwa yasiokuhusu ndugu
Kwa sababu ni sehemu ya jamii ni kawaida kuzungumzia yanayokuzunguuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote hayo hayakuhusu acha kusumbua kichwa chako kwa yasiokuhusu ndugu
Wewe ndo ufikiri mara mbiliKweni hizi nyuzi zinafunguliwa na Waisilamu? Think again.
Wewe ni kafiri acha shobo na kujipendekeza kwa waislamu na kuufatulia uislamu.Tulia ujadili bila mihemko!
Sina chuki na mtu nimefundishwa kuwapenda watu wote bila kujali imani zao sababu wameumbwa Kwa sura na mfano wa Mungu.
Halafu unajuaje imani yangu huenda na Mimi ni Muislam mwenzio?
Madaktari hata Dokta Janabi huwa anazungumizia namna bora ya kufuturu ambaye ni Muislam.
Eti uwezo uwezo gani sasa?
Mtu anatakiwa kuturu Kwa kikombe kimoja cha uji tu na yai moja tu la kuchemsha bila daku.
Au glass moja ya Juisi na tunda.
Sasa hiyo inahitajika uwezo gani hapo!
Embu elezea kwa nini Hapa alitaka kuandikaUnajua kwa nini Mungu alimfanya mtume hajui kuandika wala kusoma kilichoandikwa?
Kuku outsmart na utopolo wako huu ulio uandika.
Chuki uondosha maarifa.
Makafiri wengi mna chuki na mfumo wa maisha ya waislamu.
Mnaona waislamu wana maisha poa sana mnayoyatamani ila ndo hivyo tena.
Unasema waislamu wanakusanya cha asubuhi mchana na jioni.
Hapa ume assume waislamu wote wanakipato cha kuwawezesha kumudu futari na vyote ulivyovitaja.
Vipi kwa wale wasiokuwa na uwezo?
Hakika makafiri mnashangaza sana.
Kwani mkuu tunaabudu Mungu mmoja au?Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Mimi nakula nnavyotaka na huna la kunifanya.Hakuna chuki wala nini!
Yani kusema ukweli ndio kuwa kafiri?
Mbona hata madaktari wamekuwa wakisema mapungufu ya namna ya kufuturu tena madaktari waislamu?
Kwa hiyo nao ni makafiri na wanachuki na waislamu?
Hakuna chuki ni upendo tu isipokuwa ukweli lazima usemwe!
Wewe ni kafiri acha shobo na kujipendekeza kwa waislamu na kuufatulia uislamu.
Deal na ukafiri wako.
Mimi nakula nnavyotaka na huna la kunifanya.
Na ukichukia mimi kula sana kajinyonge.
Mimi nna afya maradufu ya wewe takataka ya kikafiri.Usijifiche kwenye kujificha kwenye mwamvuli wa kuita makafiri.
Kama siyo kafiri siwezi kuwa kafiri kwa wewe kuniita kafiri.
Dhahabu itabaki kuwa dhahabu hata ikipakwa tope!
Madaktari nao unawaita makafiri?
Tafakari ukweli chukua hatua haki afya!
Mbona mnakuwaga na uhuni mwingi tu!Mkiambiwa mjirekebishe.Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batili ya kufunga.
Wanabadili ratiba ya msosi.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
[emoji23][emoji23][emoji23], Povuuu jingi.Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batili ya kufunga.
Mimi nna afya maradufu ya wewe takataka ya kikafiri.
Nafunga huu mwaka wa 36 mfululizo na nakula sana wakati wa kufuturu na sina tatizo lolote la kiafya na nadunda tu.
Ukisimamishwa wewe na mimi utaonekana una unyafuzi.
Again acha kudandia maisha ya waislamu na kujifanya unajua kushauri.
Hujaombwa ushauri wowote na waislamu.
Kama ushauri kamshauri baba ako na mama ako mzazi.
Sawa kijana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Amefunga kula tu!!!Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Yeye si Anataka tu kujua??. Kwani kuna ubaya mtu kutaka kueleweshwa jambo linalomtatiza??.Mkuu wewe ni mchokozi, kwanini usiache watu wafanye kile wanachoamini na wewe ufanye unachoamini? Pia kumbuka kuwa kufunga kuko kwa aina nyingi.
Teeh teeh binti mbona una shobo sana.Acha kuwa na mihemko na makasiriko ya mijadala ya kijamii!
Jifunze kukomaa kisaikolojia!
Halafu nimeshakupima na kuona uwezo wako wa kufiri na kuelewa mambo uko limited!
Werevu huwa wanapokea mawazo ya wengine na changamoto kisha kuyafanyia kazi na kuona kama yana mantiki badala ya kuwaita makafiri!
Wewe mwenyewe mbele ya mwarabu ni kafiri tu vile vile !
Kwani kuna ubaya kubadili ratiba ya msosi?Wanabadili ratiba ya msosi.
Since when kukaa njaa usiku kumeanza kuwa regarded, perceived kama "kufunga" globally?Wakina nani wameingiliwa; na wameingiliwa kivipi?. Kwamba anaefunga usiku ana tofauti gani na hawa wanaofunga mchana kiasi wanaoiga piga kelele kuhusu kufunga kwako tofauti na wanaofunga usiku ambao hawapigipigu kelele juu ya kufunga kwao?
Tafsiri ya kufunga kila mtu na Imani yake na uwezo wa afya yake.Na kila mmoja yupo sahihiSalamu kwenu