Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Sijaona mahali mtoa mada kataja dini yoyote ila nashangaa kuna watu wamepanik utadhani ni wao peke yao ndio wanaofanya hicho kitendo hapa duniani.Mtoa mada katoa mawazo yake kwasababu ukweli ni kwamba watu wote wanaofanya icho kitendo mchana usiku huwa wanakula kwahiyo inakua haina tofauti na jinsi ambavyo kikawaida huwa tunakula mchana alafu usiku hatuli.ndo maana anaona nisawa na kubadilisha tu ratiba ya kula.Kwa hali hiyo hata ukikiweka hicho kitendo kwa minajili ya aidha afya au dini bado unaona kuna kitu hakijakaa sawa kwasababu mambo bado yanabaki kua vile vile ni muda tu ndio unaobadilika.
 
Sawasawa mkuu. Siku saba za bila chakula kisha baada ya hapo nakula. Kweli nakuwa nimebadilisha ratiba.
 
Kuacha kula kabisa completely si katika maana ya kufunga kwa Waislam. Usiwapangie jina kuita ibada yao.

Mbona watu wanaenda Isreal na wanasema wameenda hija. Kuna muislam kawakataza wasiite hija kisa haifanani na ya kwao kule Macca?
Mimi wala simpangii mtu anavyotaka kuita au kutekeleza.

Israeli hata waislamu wanaenda pale dome of the rock na wanaita hijja.
 
Hapa boss ni sawa na wale wanafanya mazoezi makali ili wapungue lakini wakitoka mazoezi wanakula sana na matokeo yake hawapungui.
 
We jamaa ni takataka kabisa,kwanza hujui nini unaongea,umekaa umetafakari ndiyo umekuja na huu uharo.Jambo kama hulielewi ni bora ukauliza kwanza kuliko kuropoka.Labda nikuulize unaelewa nini mana ya funga? Unafahamu nini kuhusu swala tano? Je unafahamu nini kuhusu mtu anaeswali swala 5 anstakiwa awe vipi?Acha kukurupuka.
 
Soma comment zilizotangulia ili ujielimishe badala ya kuja hapa na maneno makali yanayoonesha dhahiri kwamba huko unakoita kufunga hakuna manufaa yoyote kwako.
 
Ndio maana mimi nashangaa mtu akisema ati amefunga wakati kila usiku anakula.
Kuacha kula kabisa completely si katika maana ya kufunga kwa Waislam. Usiwapangie jina kuita ibada yao.

Mbona watu wanaenda Isreal na wanasema wameenda hija. Kuna muislam kawakataza wasiite hija kisa haifanani na ya kwao kule Macca.
Mimi wala simpangii mtu anavyotaka kuita au kutekeleza.

Israeli hata waislamu wanaenda pale dome of the rock na wanaita hijja.
Kama huwapangii jina kwanini umetoa wazo watafute jina lingine wasiite kufunga?

Hapa ndio unadhihirisha zaidi UPUMBAVU WAKO
 
Kwanini useme hakuna manufaa?
Wewe ni nani hata useme hakuna manufaa?
Muislam hafungi ili asinenepe. Anafunga ili kutekeleza ibada. Sasa katika kutekeleza ibada unasemaje hakuna manufaa?
Soma comment zilizotangulia ili ujielimishe badala ya kuja hapa na maneno makali yanayoonesha dhahiri kwamba huko unakoita kufunga hakuna manufaa yoyote kwako.
 
Rudia kuandika unaamanisha nini Sasa?
 
Kumbe wajinga hata humu wapo[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373] nilizani Twitter tu[emoji2219][emoji2219]
 
Kwanini useme hakuna manufaa?
Wewe ni nani hata useme hakuna manufaa?
Muislam hafungi ili asinenepe. Anafunga ili kutekeleza ibada. Sasa katika kutekeleza ibada unasemaje hakuna manufaa?
Ukifunga unaupa nidhamu mwili na matokeo yake ni kuwa na utulivu, staha na hekima.

Unaposema umefunga halafu unakuja hapa jukwaani na kutoa lugha za matusi na kejeli inaonesha namna ambavyo hiyo inayoitwa funga haina manufaa.
 
Mambo hayawi vile vile acha kudanganya watu. Kwa kawaida mwili unahitaji chakula zaidi mchana kuliko usiku.....anayeacha kula mchana purpose yake ni kufanya ibada. So wewe waache tu.
 
Mada haikuwa imetaja dini yoyote. Naona waislamu wengi mmekuwa wakali hapa ingawa hata baadhi ya madhehebu ya kikristo yapo kwaresma na hawajalalamikia mada.

Unadhani ni kwanini waislamu ndio wamekuwa wakali?
Kwa sababu wewe ni mkristo, unaifuata bibilia, ila unataka Waislamu wafuate ya ya bibilia.
Wakati nyie wenyewe kwa wenyewe, ndani ya ukristo hamjaelewana.

Hii kwaresma inayoendelea, kama uko Dar, nenda pale Kanisa la kimara korogwe ifikapo jioni utakuta kuna chupa za chai na uji, kwa ajili ya kufungua.
 
Mambo hayawi vile vile acha kudanganya watu. Kwa kawaida mwili unahitaji chakula zaidi mchana kuliko usiku.....anayeacha kula mchana purpose yake ni kufanya ibada. So wewe waache tu.
Kwanza anaelewa nini maana ya kufunga?
 
Ukifunga unaupa nidhamu mwili na matokeo yake ni kuwa na utulivu, staha na hekima.

Unaposema umefunga halafu unakuja hapa jukwaani na kutoa lugha za matusi na kejeli inaonesha namna ambavyo hiyo inayoitwa funga haina manufaa.
Kejeli umeanza wewe kwa kuhoji kwanini mtu aseme anafunga wakati anakula jioni?
Kwahiyo kwa kuwa wewe hujafunga unaruhusiwa kukejeli wenzio?
 
Mimi nimeandika suala la kufunga kiafya zaidi na simlazimishi mtu afuate nonachosema. Ninaheshimu Imani ya kila mtu.
 
'Funga iliyo bora' kwa mujibu wa nani
Mwandishi wewe au Mwenyezi Mungu?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…