Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
-
- #161
Wapi imani yako imetajwa?Funga ya kiafya si uifunge wewe kwani umekatazwa we binti vipi.
Unalazimisha watu waifuate funga yako as if watu imani zinafanana.
Waislamu wana funga yao na nyie waabudu sanamu mna funga yenu shobo za nini?
Tulia basi dawa ikuingie. Makafiri huwa mada zenu mkiona Ramadhan imeingia ndo mnazileta. Well, kila mtu ana imani yake. Na kila mtu afanye ajuavyo.
Uvumilivu wangu ni mkubwa sana na ninaheshimu imani za wengine.Haya sitayafuta. Nakushauri, mimi sitamani, uwe Muislam na huu uzi wote utaomba mods wakusaidie kuufuta.
Kuna kitu unamiss. Religious tolerance. Mimi nikiamua nadeal na watu wa style yako kwa namna ambayo nimedeal na wewe leo.
Mada haihusiani na dini yoyote.@mods hii thread ilitakiwa iwe imeshafutwa.
Religious discrimination.
Ni muhimu kuheshimu kitu ambacho sio chako.
Umemaliza mjadala.Umemueleza ukweli mtupu.Amekuelewa,japo atajifanya hajakuelewa.Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batilo ya kufunga.
Kufunga kunahusiana na nini?Mada haihusiani na dini yoyote.
Mods Active hii thread ina contain Religious discrimination.
Inaenda kinyume na sheria za JamiiForums.
Teeh teeh we binti bhanaLeo akija mtu na kukwambia amepata maono kwamba uhuru wa Tanganyika ulikuwa June 5 mwaka 1957 na kwamba raisi wa kwanza wa Tanganyika alikuwa Rashidi Kawawa utakubali?
Hii ni exactly alichofanya Muhammad, zaidi miaka 600 baada ya Yesu yeye akaja na kuleta habari aliyoiita mpya (ingawa alisoma maandiko ambayo tayari yalikuwepo) na akaanzisha dini halafu kuna watu mpaka leo wanaamini stori yake kuliko yale maandiko ya wanafunzi wa Yesu waliokuwa mashahidi ya yote yaliyotokea.
Ni risk kubwa sana kuamini mtu mmoja against mamia ya mashahidi
Ni risk sana kuamini manipulations walizofanya Waroma na wenzao kwa kuchukua injili ya Yesu na kuongezea vya kwao na kusema hivi ndio sahihi. Biblia si katika injili halisi ya Yesu. Yesu hakufundisha utatu popote. Alihubiri ibada ya Mungu 1 pekee asiye na mshirika. Ukafanyika upotoshaji mkubwa sana na leo watu wanaamini na wanafata. Mmoja wapo ni wewe.Leo akija mtu na kukwambia amepata maono kwamba uhuru wa Tanganyika ulikuwa June 5 mwaka 1957 na kwamba raisi wa kwanza wa Tanganyika alikuwa Rashidi Kawawa utakubali?
Hii ni exactly alichofanya Muhammad, zaidi miaka 600 baada ya Yesu yeye akaja na kuleta habari aliyoiita mpya (ingawa alisoma maandiko ambayo tayari yalikuwepo) na akaanzisha dini halafu kuna watu mpaka leo wanaamini stori yake kuliko yale maandiko ya wanafunzi wa Yesu waliokuwa mashahidi ya yote yaliyotokea.
Ni risk kubwa sana kuamini mtu mmoja against mamia ya mashahidi
Funga ya kiafya ni ile ya kuanzia siku saba.Duka lenyewe mtu anafungua asubuhi na jioni anafunga, hivi haya mambo mafogo kiasi hiki yanakushinda nini kuelewa?
Lengo la kufunga si kuutesa mwili bali kupata afya na mambo mengine ya kiroho.
Huko kufunga kwa siku 40,umeamrishwa na kitabu gani cha dini yako,kuwa funga siku 40 bila kula?Wenzako Wana kitabu chao,kilichowaelekeza wafunge na kufunguwa mda gani,na kwa siku ngapi.Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Una tafsiri limited sana kuhusu kufunga. Soma masuala ya kiafya utajua kufunga kazi yake ni nini.Kufunga kunahusiana na nini?
Binti kwani kuna shida gani watu wakifunga kwa mujibu wa imani yao?Hakuna sehemu kataja dini ya mtu. Ukiangalia kwaresma hawafungi anavyosema au kushauri mleta mada ila wale wanaoishi kwa kujishtukia wamepanic.
Kumbuka wanaofunga kwaresma jumapili hawafungi kula ni full misosi
Wazo la makafiri then what?Maskini shosti pole unatamani kulia. Kumbuka JF ni wazo la unaowaita makafiri kama hautaki kuziona hizi mada shinda kwenye mahubiri ya dini yako
Nadhani itakuwa ni Yesu, Musa na Eliya. Hawa wote walifunga siku 40.Huko kufunga kwa siku 40,umeamrishwa na kitabu gani cha dini yako,kuwa funga siku 40 bila kula?Wenzako Wana kitabu chao,kilichowaelekeza wafunge na kufunguwa mda gani,na kwa siku ngapi.
Walifunga wao,je yapo maandiko,yaliyosema na wewe ufunge kama wao siku 40?Lete hayo maandiko yao,yaliyosema na wewe ufunge siku 40,bila kula.Nadhani itakuwa ni Yesu, Musa na Eliya. Hawa wote walifunga siku 40.
Wazo la makafiri then what?
We unatumia bundle lako nami natumia langu. Au unadhani wewe kuna faida unapata zaidi hapa?
Unapotaka kufundisha watu weka mbali hisia zako za kidini pembeni. Kwa sababu unachokiamini wewe sivyo anavyoamini huyo unayataka kumfunzaUvumilivu wangu ni mkubwa sana na ninaheshimu imani za wengine.
Ninaamini umepata vitu vya kujifunza leo.