Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Wewe ni mpumbavu. Eti mada sio ya kidini....hujui kama kufunga kuna husisha dini?Maoni yako yanaheshimiwa maana ni mali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavu. Eti mada sio ya kidini....hujui kama kufunga kuna husisha dini?Maoni yako yanaheshimiwa maana ni mali yako.
Yaani ukae siku 20 bila kula wala kunywa majiUkijaribu mara moja tu hutakuja kuacha. Yaani mwili utakuwa na afya na kuna utulivu fulani unaupata ambao siwezi kuuelezea. Akili inakuwa sharp sana.
Maji unakunywa mkuu. Bila maji zaidi ya siku tatu ni hatari.Yaani ukae siku 20 bila kula wala kunywa maji
Ehhh...
Ova
Nani kakufungia mgahawa we kafiri maluuni?Sasa ndio nikauliza, kwanini ughafirike kwa mwenzako amabe hajafunga kula mchana wakati kufunga kwako ni imani yako, yaaani why uone wivu kiasi ufungie migahawa? Kwanini usishike imani yako na kuendelea na funga yako? Anyway
Kwa sisi ambao usiku hatuki wala hatunywi, bali tunalala tu hadi asubuhi ndio tunakunywa chai, tunakuwa tumefunga?
Tumia lugha ya staha.Wewe ni mpumbavu. Eti mada sio ya kidini....hujui kama kufunga kuna husisha dini?
Kwa hiyo hizo siku 20 we ni mwendo wa maji tu no kula chakula siyoMaji unakunywa mkuu. Bila maji zaidi ya siku tatu ni hatari.
Mimi naheshimu watu wa imani zote.Sure, Vipi kuhusu heshima na ustaarabu sababu hivyo ndio vitu vinavyotafsiri utu wa binadamu?
Usinipangie lugha ya kuandika humu. Wewe mbona uzi wako una kejeli nyingi na hujaona staha kafiri mkubwa weweTumia lugha ya staha.
Dini nyingi watu wanafunga lakini sio kila kufunga ni kwa ajili ya dini.
Ndio inavyokuwa siku 21. Ila unatakiwa kuanza kwanza moja, kisha mbili, halafu tatu. Ukitoka hapo unaweza kujaribu saba. Hapo sasa unaweza kufika hizo 21. Zoezi hili unaweza kulianza taratibu na pengine baada ya miezi 6 unaweza kuwa tayari kwa hizo 21.Kwa hiyo hizo siku 20 we ni mwendo wa maji tu no kula chakula siyo
Ova
Kitendo cha kuandika hii thread clearly huna unachokisema.Mimi naheshimu watu wa imani zote.
Hakuna mahali nimemkejeli mtu. Nimetoa mawazo yangu na tafiti za afya kuhusisha suala la kufunga.Usinipangie lugha ya kuandika humu. Wewe mbona uzi wako una kejeli nyingi na hujaona staha kafiri mkubwa wewe
Ninachokisema hasa ni umuhimu wa kufunga kwa ajili ya kuboresha afya.Kitendo cha kuandika hii thread clearly huna unachokisema.
Am I wrong?
Zanzibar huko wamezuia watu kula in public kwasababu kuna watu wanafunga.Nani kakufungia mgahawa we kafiri maluuni?
Unaposema watu wanajizuia Kula mchana lakini wanakula usiku,Mkuu unaweza kuonesha mahali Imani yoyote imetajwa?
Utafiti uko wapi?Hakuna mahali nimemkejeli mtu. Nimetoa mawazo yangu na tafiti za afya kuhusisha suala la kufunga.
Hapa tupo Zanzibar?Zanzibar huko wamezuia watu kula in public kwasababu kuna watu wanafunga.
Usiwafanye watu wote wapuuzi mkuu.Mkuu unaweza kuonesha mahali dini yoyote imetajwa?
Sasa hivi ni kwaresma, rc, anglican, moravian, na lutheran wanafanya kama waislamu na sijaona hata mmoja akija hapa kulalamika isipokuwa waislamu. Why?Unaposema watu wanajizuia Kula mchana lakini wanakula usiku,
Na kwa sasa waislam wapo kwenye kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan,
Halafu umeamua kufunguwa uzi kukashifu wengine.
Au unaweza kutueleza ni watu wa Imani gani wanaofunga mchana na Kula usiku?
Wacha kashfa kwa Imani za watu wengine.
Nashangazwa na moderators mpaka sasa hamjafuta hii takataka ..
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Zangu zipo kwenye maelezo yangu. Soma tangu mwanzo. Zaidi ukitaka ingia gugoUtafiti uko wapi?
Utafiti huwa una data, zako ziko wapi we kafiri
Unaweza kuthibitisha kwamba sipo au siendi zanzibar mara kwa mara?Hapa tupo Zanzibar?
Walioko Zanzibar hawalii. Mnalia nyie mlioko huku mnaumia nini?
Makafiri mna shida sana.