Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Ukijaribu mara moja tu hutakuja kuacha. Yaani mwili utakuwa na afya na kuna utulivu fulani unaupata ambao siwezi kuuelezea. Akili inakuwa sharp sana.
Yaani ukae siku 20 bila kula wala kunywa maji
Ehhh...

Ova
 
Sasa ndio nikauliza, kwanini ughafirike kwa mwenzako amabe hajafunga kula mchana wakati kufunga kwako ni imani yako, yaaani why uone wivu kiasi ufungie migahawa? Kwanini usishike imani yako na kuendelea na funga yako? Anyway

Kwa sisi ambao usiku hatuki wala hatunywi, bali tunalala tu hadi asubuhi ndio tunakunywa chai, tunakuwa tumefunga?
Nani kakufungia mgahawa we kafiri maluuni?
 
Kwa hiyo hizo siku 20 we ni mwendo wa maji tu no kula chakula siyo

Ova
Ndio inavyokuwa siku 21. Ila unatakiwa kuanza kwanza moja, kisha mbili, halafu tatu. Ukitoka hapo unaweza kujaribu saba. Hapo sasa unaweza kufika hizo 21. Zoezi hili unaweza kulianza taratibu na pengine baada ya miezi 6 unaweza kuwa tayari kwa hizo 21.
 
Usinipangie lugha ya kuandika humu. Wewe mbona uzi wako una kejeli nyingi na hujaona staha kafiri mkubwa wewe
Hakuna mahali nimemkejeli mtu. Nimetoa mawazo yangu na tafiti za afya kuhusisha suala la kufunga.
 
Mkuu unaweza kuonesha mahali Imani yoyote imetajwa?
Unaposema watu wanajizuia Kula mchana lakini wanakula usiku,

Na kwa sasa waislam wapo kwenye kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan,
Halafu umeamua kufunguwa uzi kukashifu wengine.

Au unaweza kutueleza ni watu wa Imani gani wanaofunga mchana na Kula usiku?

Wacha kashfa kwa Imani za watu wengine.

Nashangazwa na moderators mpaka sasa hamjafuta hii takataka ..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi ni kwaresma, rc, anglican, moravian, na lutheran wanafanya kama waislamu na sijaona hata mmoja akija hapa kulalamika isipokuwa waislamu. Why?
 
Back
Top Bottom