Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
hivi kwanini baada ya kumpotezea huwa wanaanza kujishtukia?Hakuna mwanamke aliyenipa hilo jibu akabaki salama. Baada ya jibu kama hilo hua nakula bati, yani mikausho mikali mpaka wanaishiaga kujishtukia na kuanza kujilengesha wenyewe.
Nahisi nimekua mtu mzima sasa. Ile nguvu ya kuforce mapenzi sina. Niko focused sana na pesa na career yangu!
[emoji28][emoji28] mapenzi sio pesa is just a swagaSio kila mwanamke huwa anababaika na pesa mimi niliwahi kupendwa na dada mmoja alikuwa black beauty halafu ana mzigo kiasi bongebonge alimkataa jamaa alikuwa anafanya kazi mgodini tena analipwa mpunga mrefu [emoji23][emoji23] jamaa alikuwa na mbwembwe alikuwa na toyota crown akifika pale nilipokuwa naishi anaongeza spidi[emoji23][emoji23][emoji23]
wee vipi tena ushauri gani sasa huo? atafute pesa tuu ndio jibu hapo
π€£π€£π€£Hyo kauli wanajionaga fahari wakissmaTaken.
Nadhani at first anakua ameshakuelewa sema ndio hivyo anataka uendelee kukomaa so ukimpotezea anakua anafeel tu guilty yeye kumpoteza mtu ambae huenda angekua sahihi kwakehivi kwanini baada ya kumpotezea huwa wanaanza kujishtukia?
Au sio!!!!Kama una mtu na mimi mtu.... Cha mtu huliwa na mtu chuma huliwa na kutu
naona ni kweli. na hii nadhani inawasabibishia wanawake wengi kujikuta wanajuta baadaye kwa kuwapoteza wanaume ambao huenda walikuwa sahihi kwao.Nadhani at first anakua ameshakuelewa sema ndio hivyo anataka uendelee kukomaa so ukimpotezea anakua anafeel tu guilty yeye kumpoteza mtu ambae huenda angekua sahihi kwake
Hili limekaa kibabe sana π€£ demu lazma acheke kwanza.Mwambie hata wewe una mtu wako ila unataka kumsaidia huyo mtu wake baadhi ya majukumu.
Lazima uliangua kicheko tu πNiliwahi pewa jibu kama hili nilichokaπππ
Hahahah anakula umeme tu pamoja na mapene yake.ebwana eee nina mwanangu ana mpunga sana ila watoto wana mchomolea fyuzi mnoo
hapa akichomoa sijuiKwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Ila wengi wana njaa na wanababaika kwa hela. Hata hao unaosema wasiobabaika kwa hela,ni vile tu dau halijafikiwa.ukiwapandia dau lao unawala mbona. Kila ke ana bei yake. Habari ndiyo hiyo.Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.
Ntampenda yeye na huyo mtu wake.Natumai mu wazima sana,
Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
ππππAnaweza kuwa mjane muda wowoteUsikate tamaa na hilo jibu, watu huachana, watu hufariki...
Acha utani na pesa,Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.