Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Means she is open or was meant for everyone except that now that gap has been field but exceptionally if you submit a strong proposal you can overturn the winner of the first leg and advance to the next stageNatumai mu wazima sana,
Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
Niwakumbushe wanaume:💯🤝 uko sahihi
Ule msemo mwanamke akipenda amependa uko sahihi sana. Ila kama hakuna mwanamke aliyewahi kufall kwako hautauelewa
Hujawahi kukutana na mwanamke...mmekuwa marafiki, lengo lako unamtaka lkn humtongozi hadi siku anakuuliza...hivi sikuvutii?😂💯🤝 huu urafiki huwa unatengeneza chemistry moja nzuri sana.
Asante sanaaaaaa!.Kwanini umemuuliza kama anamtu au hana we jipambanie wewe kama wewe then ye atachagua yuko single au ana mtu
Ewaaahhh mistari mitamuKwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Hili ninalijua sana.Asante sanaaaaaa!.
Maana suala la sisi kuwa single au taken inategemea na ntu na ntu.
Wanaume wanajifanya hawatak mambo mengi ...Leo salamu leo mtongozo leo nearby Lodge kuvuana. Hawana subira kabisaaKabisa na tukiamua Kunanaonkimahusiano tunapenda mazima Kuna Raha Kuwa na mahusiano kuwa na mtu ambae ni rafikikwako anakuwa anakuelewa Sana uwe na gubu mkorofi unanhasira atakuwa ashajua namna ya kudeal na wew
Ndiyo. Au akikuuliza vipi una mtu unamwambia "no comment ".Hili ninalijua sana.
Huwa mkimuelewa mwanaume mnasahau kuwa mlishakuwa na mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe tatizo lako unapenda sana zile za papo kwa papo shauri yako utabeba makapi weweeHili liko wazi na nimeexperience kwenye mahusiano ila inategemea na mwanamke pia. Ila kwa vijana wengi si rahisi kuwa na subira
Bwana wa demu wako lazima umpende😂, hujasikia ule wimbo singeli unasisitiza tuwaheshimu madanga wa mademu zetu😂😂 Kwani na wewe ni "mtoto si riziki". We jamaaaaaa
Mtu kama shida yake ni mbususu lazima afanye chap.Wanaume wanajifanya hawatak mambo mengi ...Leo salamu leo mtongozo leo nearby Lodge kuvuana. Hawana subira kabisaa
💯🤝Sio kila mwanamke anataka pesa yako
ni akilli, uelewa na unavyomtreat
Pesa pia. Wanaogopa mahusiano yakiwa marefu bila kutunukiwa mbususu atapigwa vizinga vingiMtu kama shida yake ni mbususu lazima afanye chap.
Ila kama amekuelewa kwa dhati atakuwa hana haraka.
Ninavyofahamu.
Umenikumbusha raia moja akiwahi kunipa majibu kama haya...no koment🤣🤣🤣Ndiyo. Au akikuuliza vipi una mtu unamwambia "no comment ".
Hehehehehe
Situation kama hiyo, Mwanaume unajiona mwamba sana.[emoji817][emoji1666]
Kuna manzi alifall kwangu inshort wote wawili tulielewana kipindi hicho bado life langu si kivile lakini pesa ya maisha ya kawaida ipo.
Siku anagraduate wakatoka wanafunzi kadhaa na baadhi ya walimu wao wa chuo lengo wakafurahie sehemu na aliniambia mapema kuhusu hiyo ratiba
Akanipigia simu jioni niende kumchukua pale walipokuwa wameenda nikashtuka kidogo nikamuuliza kwa nini? Akasema wewe njoo kwanza maana kuna lecturer kanifukuza hapa
Nikachukua boda mpaka pale nikakutana naye nikamuuliza akasema kuna lecturer alimtaka kimapenzi alimwomba wakapumzike lodge fulani na jamaa alimuahidi zawadi.
Jamaa alitaka kutumia pesa yake ili ampate. Manzi alipokataa yule lecturer alikasirika akamwambia kama vipi aondoke kwa dharau akamuitia bolt yule manzi akaikataa
Nafika pale manzi kaniambia alifanya vile makusudi ili yule mwalimu ajue kwamba ana mtu wake. Nikiangalia jamaa wamepark ndinga zao na mimi nimekuja na boda! Nilifarijika sana ukizingatia kwa kipindi kile kama ukilinganisha life langu lilikuwa chini ukilinganisha na yule lecturer.
Nakubaliana na wewe si kila mwanamke atakuvilia pichu kwa sababu ya pesa japo ni wachache wenye msimamo huo
Acha tu nilijiona mwamba nilifarijika sanaSituation kama hiyo, Mwanaume unajiona mwamba sana.
"Huyu niliyenae kwa sasa ni mtu sahihi sana kwangu. Hata yeye ameshaniahidi kuwa atakuwa wa mwisho kwangu nami nimemuahidi nitakuwa wa mwisho kwake."Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]