Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Anaye jua mshahara wa mechanical engineering anitajie maana sio tunasoma tu! Mwakani naua mwaka wa 4 nisije nikawa nauza bangia mtaani
Umenifanya nicheke mpaka nimeulizwa hapa....😄🤣 Kaka Engineer saivi wametosha nyie mnasoma tu kuongeza idadi eti mechanical😄 Kidogo labda automobile Engeneer
 
Umeongea pointi nzuri wala sikupingi maana sijaja hapa kubishana na watu.
 
Is it ethical,Dr inabid atulie kwemue kituo chake kimoja we apo unazungumzia jinsi anavyoangaika kuokota uku na uku ili apate iyo 3m
Jamaa wanaseka sana asee hawakai ata nafamilia wanaunga kijiwe kimoja kwenda kingine 24/7 hawapumziki
 
Unadhani wafanyabiashara,madereva malori,mabasi,wao wanalala na familia zao muda wote.....maisha ni complete battle field
 
Is it ethical,Dr inabid atulie kwemue kituo chake kimoja we apo unazungumzia jinsi anavyoangaika kuokota uku na uku ili apate iyo 3m
Jamaa wanaseka sana asee hawakai ata nafamilia wanaunga kijiwe kimoja kwenda kingine 24/7 hawapumziki
Yeah it is. Time management ndio muhimu. Wapo wanapata nyingi zaidi. Kama unataka ordinary life just work 9-5 sio Dr tu hata ukijiajiri.
 
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Ulitaka Mapato yote ya serikali yatumike kulipa mishahara?
Mishahara inatolewa kwa uwiano kwa kila kada na inategemea uwezo wa muajiri sio sulla la kulipa tu.

Daktari analipwa mara mbili ya degree zingine kama uchumi, kilimo nk hivyo bado madaktari wake vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…