matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Dah mashambulizi ni makali sanaNetanyahu kaanzisha vita, kisha kakimbilia Greece, hahaha
ile THAAD yenu izuie Fattahs hizo sasa
View attachment 3367550
yule mwehu yuko Greece mda huu,Dah mashambulizi ni makali sana
Lakina nchi ya Iran watu wake siyo Waarabu. Rekebisha ili mada iwe RELEVANTMoja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.
Hivi Iran hawana covert operations huko Israel kama wenzao Mossad huko tehranyule mwehu yuko Greece mda huu,
Kashindikana, ana maamuzi magumu na akishayafanya harudi nyuma.yule mwehu yuko Greece mda huu,
Kudadake vyuma vina hit ground kibabe sanaNetanyahu kaanzisha vita, kisha kakimbilia Greece, hahaha
ile THAAD yenu izuie Fattahs hizo sasa
View attachment 3367550
Wataalamu wa fasihi hivi hiyo mnaita oxymoron au paradox au anadiplosis?!!!!Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.
Irani si muarabu ni Muajemi..Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.
Rekebisha kwanza ulipoandika kuwa Iran ni nchi ya kiarabu. Otherwise una mislead watu.Hivi Iran hawana covert operations huko Israel kama wenzao Mossad huko tehran