matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
-
- #21
Rais wa Jordan ni mzunguNchi za Kiislamu hazina mshikamano na kibaya zaidi tawala zilizopo madarakani zipo kwa maslahi ya Marekani na crew yake.
Fikiria nchi kama Jordan inazuia na kudungua makombora ya Iran yasipite kuelekea Israel, lakini wakati huohuo Inaruhusu anga lake kutumika na Israel ili kumshambulia Iran.
Yote kwa yote Iran anapambana pamoja na kuwa jesshi la mtu mmoja asiye na msaada kutoka nje bado amekuwa tishio kwa Israel anayeungwa mkono na kusaidiwa kila kitu (fedha, makombora, mifumo ya ulinzi na bado tu anasumbuliwa na Iran.
Je, Iran angepata huo uungwaji mkono kama Israel, unadhani angefanya nini pale mashariki ya kati?
Tayari washaitwa mezani leo...Kwa hiki kilichofanywa na Iran, muda si mrefu utasikia yale yanayoitwa mataifa makubwa na zile taasisi kubwa ulimwenguni wakidai amani kati ya mataifa hayo mawili
Rais wa Jordan ni mzungu
Wairan dini yao kuu ni Zoroastra dini kongwe kuliko Ukristo, uislam,uyahudi,uhindu.Iran siyo waarabu ni wa Persia ambao walivamiwa na wajinga wa kiarabu kuwafanya waongozwe kiislamu wakati hawataki
Ndo maana hata leo Iran walikuwa wanawashangilia Israel wakisema piga huyo khamenei
Na target za israel ilikuwa kwenye maeneo muhimu
Britanicca
Nchi za Kiislamu hazina mshikamano na kibaya zaidi tawala zilizopo madarakani zipo kwa maslahi ya Marekani na crew yake.
Fikiria nchi kama Jordan inazuia na kudungua makombora ya Iran yasipite kuelekea Israel, lakini wakati huohuo Inaruhusu anga lake kutumika na Israel ili kumshambulia Iran.
Yote kwa yote Iran anapambana pamoja na kuwa jesshi la mtu mmoja asiye na msaada kutoka nje bado amekuwa tishio kwa Israel anayeungwa mkono na kusaidiwa kila kitu (fedha, makombora, mifumo ya ulinzi na bado tu anasumbuliwa na Iran.
Je, Iran angepata huo uungwaji mkono kama Israel, unadhani angefanya nini pale mashariki ya kati?
Israel ni kibaraka tu mwenye vita yake yuko pemben.. Yani hajiwezi siku hizi kwa uoga anategemea proxy war,.Hali ni mbaya kwa Dunia.
Kumbuka Iran kawindwa kitambo sana akitumiwa Saddam Hussein kama kibaraka wao ikiwemo vita ya Iran na Iraq.
Wakachemka,waliomkuza Saddam ndio waliomuua kama walivyomuinua Osama baada ya mission wakammaliza.
Ili kutimia kwa kanuni ya apandacho mtu ndicho atakachovuna,ukimwaga damu ya mtu na yako itamwagwa.
Safari wameamua kuingia wenyewe,ni Iran pekee ndie tishio wa miaka mingi aliyebakia baada ya kusambaratishwa kwa wapigaji wa Hamas,Hizbollar,Houth wa Yemen nk.
Hii vita sio rahisi
Hujaelewa alichoandika acha kukurupuka. Waarabu waliomzungu lakin pia ndan ya Iran wapo waarabu wa asili wameishi na Persians miaka. Na sio waarabu tu wapo wayahud wakurd, wa Afghanistan na baluchitan na waturuki so sio Persians only japo ndio majorityIran ni waarabu?,rudi darasani ujifunze ulimwengu ulivyo
Pia uarabu ni culture KWA Sasa sio race ambayo inasambazwa kupitia uislam. Hiyo link ndio Msingi wa hojaHujaelewa alichoandika acha kukurupuka. Waarabu waliomzungu lakin pia ndan ya Iran wapo waarabu wa asili wameishi na Persians miaka. Na sio waarabu tu wapo wayahud wakurd, wa Afghanistan na baluchitan na waturuki so sio Persians only japo ndio majority
Akautafute uungwaji "miguu" Russia na China.Nchi za Kiislamu hazina mshikamano na kibaya zaidi tawala zilizopo madarakani zipo kwa maslahi ya Marekani na crew yake.
Fikiria nchi kama Jordan inazuia na kudungua makombora ya Iran yasipite kuelekea Israel, lakini wakati huohuo Inaruhusu anga lake kutumika na Israel ili kumshambulia Iran.
Yote kwa yote Iran anapambana pamoja na kuwa jesshi la mtu mmoja asiye na msaada kutoka nje bado amekuwa tishio kwa Israel anayeungwa mkono na kusaidiwa kila kitu (fedha, makombora, mifumo ya ulinzi na bado tu anasumbuliwa na Iran.
Je, Iran angepata huo uungwaji mkono kama Israel, unadhani angefanya nini pale mashariki ya kati?
Yaleyale ya Morocco si waafrika ni waarabu/ulaya (!?)🫸🫷🧐Irani si muarabu ni Muajemi..
Yaleyale ya Morocco si waafrika ni waarabu/ulaya (!?)
Wanapigana vita KWA njia moja tu ambayo ikikomeshwa tu hana namna zaid ya KUSUBIRI kupigwa popote patakatakiwa kupigwa.Mfilisiti IRAN lazima atawasujudu Wa ISRAEL BABA LA MABABA tuache ushabiki jamaa wanajitahidi IRAN hawana umoja wowote ule dhidi ya wa Israel