Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,875
- 3,087
Ukiona husaidiwi hilo ni kosa lako si la jirani kusaidiwaNchi za Kiislamu hazina mshikamano na kibaya zaidi tawala zilizopo madarakani zipo kwa maslahi ya Marekani na crew yake.
Fikiria nchi kama Jordan inazuia na kudungua makombora ya Iran yasipite kuelekea Israel, lakini wakati huohuo Inaruhusu anga lake kutumika na Israel ili kumshambulia Iran.
Yote kwa yote Iran anapambana pamoja na kuwa jesshi la mtu mmoja asiye na msaada kutoka nje bado amekuwa tishio kwa Israel anayeungwa mkono na kusaidiwa kila kitu (fedha, makombora, mifumo ya ulinzi na bado tu anasumbuliwa na Iran.
Je, Iran angepata huo uungwaji mkono kama Israel, unadhani angefanya nini pale mashariki ya kati?
Yaani Iran hana mkakati wa kivita dhidi ya Israeli hilo tuwe waziWanapigana vita KWA njia moja tu ambayo ikikomeshwa tu hana namna zaid ya KUSUBIRI kupigwa popote patakatakiwa kupigwa.
Asubuhi hii mtaa mmoja kiongozi mwingine kalipuliwa kwenye apartment yake.
Hakuna covert operations na subortage yoyote kutoka Iran KWA israel ndani ya Israel.
Hakuna Cyber warfare yoyote.
Israel anahujumu kutokea moyoni mwa nchi ya Iran. Asubuhi Lowbed kama nne zikiwa zimebeba Ballistic missiles kuelekea launching site zimepigwa drone humohumo na kulipuka zikiwa njiani. Kimsingi nchi ya Iran Iko uchi mbele ya Israel.
Walisema Nuclear site inayotegemewa Iko chini dagger haziwezi kuichimbua. Ndge zaidi ya irishirini zimerusha makombora bunkerboosters KWA mfuatano kama mtu anayechimba shimbo aggregate ni kuichimbua na kuharibu kabisa hiyo Underground site. Leo Rais wao anasema hata kama wakiibomoa tutajenga tena wakati kabla alidai haziwezi kulipuliwa maana Iko chini sana.
Hadi Sasa lengo la Israel limetimia. Anaweza kupitia washirika wake kuitisha marithiano vita ikaisha ila yeye amefuta viongozi wote wa kijeshi, kairudisha nyuma mikakati ya kinyuklia zaidi ya miaka 40 na wakianza ataanza kuwafuatilia kimyakimya.
Pia hajaomba msaada popote, Israel anaomba msaada KWA rafiki zake na wanaopendana. Yeye rafiki zake wanaogopa kumsaidia KWA wazi.Ukiona husaidiwi hilo ni kosa lako si la jirani kusaidiwa
Pia Yuko too slow, wakati mwenzake ni advanced yaani akipiga ngumi mia yeye ndio anajikongoja na kamoja tena kanaonekania mbali kabisaYaani Iran hana mkakati wa kivita dhidi ya Israeli hilo tuwe wazi
Iran siyo waarabu ni wa Persia ambao walivamiwa na wajinga wa kiarabu kuwafanya waongozwe kiislamu wakati hawataki
Ndo maana hata leo Iran walikuwa wanawashangilia Israel wakisema piga huyo khamenei
Na target za israel ilikuwa kwenye maeneo muhimu
Britanicca
Ukiona husaidiwi hilo ni kosa lako si la jirani kusaidiwa
Soon Iran itasikia uchunguNetanyahu kaanzisha vita, kisha kakimbilia Greece, hahaha
ile THAAD yenu izuie Fattahs hizo sasa
View attachment 3367550
We kobazi hili sio jambo la MSINGI sana we mwelewe mtoa mada sawa mzeee rashidaIran ni waarabu?,rudi darasani ujifunze ulimwengu ulivyo
Shida vyombo vya habari vya kimagharib vinapotosha watu.. Hiyo vita mpaka sasa bado 50 kwa 50 .. Kila mtu amepgwa miundombinu yake.. Ila kwa kupoteza watu iran kapoteza watu 78 waliofariki na idadi inaweza ongezeka, huku israel mpaka sasa wamepoteza watu wawili kwa maana wamefariki na majeruh 41.Iran,wawe ni waarabu au ni binadamu tu,yote kheri ila swali la msingi kwenye uzi lijibiwe.
Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuuMwisho ni Israel kuchakaa , na Netanyahu kuishi kwenye mahandaki kama Kasongo yeyee
Mataifa mengine yataingilia kati kusimamisha vita maana madhara ya kibiashara na kiuchumi duniani ni makubwa sana ,kuanzia mafuta, usafiri wa anga na baharini, na stocks ambazo hadi leo zimeshuka kwenye kiwango hakijawahi kutokea hasa kwa israelvMoja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.
Wote hao ni waarabu tuLakina nchi ya Iran watu wake siyo Waarabu. Rekebisha ili mada iwe RELEVANT
Haobwanaoshangilia kupigwa Iran nao wapo. Kwanza Hao wakina Ayatollah wakiingia madarakani na kuifanya nchi iendeshwe kiislam na kutangaza audio na Israel ila kabla ya hapo Iran alikuwa rafiki mkubwa wa Israel. Hata project nyingi za majengo ikiwemo Airport nadhani zilijengwa na wayahudi. Sio wairan wote wanaunga mkono Serikali iliyopo ndio maana Mossad wapo Kila Kona Iran na wanajifanyia wanalotaka.Hapa mbele umeweka chai wairan walikusanyika kwnye uwanja kulaani shambulio la israel na pia kumtaka kiongozi wao awapige na wao.. Ndio maana walikuwa wanashangia walipokuwa wanapata taarifa kuwa tel aviv inapigwa.. Video ipo CNN, IRNA, REUTERS..
Usipotoshe.
We jamaa jau 🤣🤣🤣Kudadake vyuma vina hit ground kibabe sana
IRAN sio waarabu wale ndgu, au we yyte mweupe aliemuislamu na akatoka middle east kwako ni mwarabu et[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran.
Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia anguko la Serikali hii ya hayatollah, watakuja wadau wengine ambao watakuwa na msimamo wa kawaida kama wale kabla ya wakina hayatollah hawajachukua nchi.
Nini unadhani itakuwa hatma ya vita hii.
baada ya kupima Majibu ya mpinzani wao, hiko ndio kinachoenda kutokea.....Tayari washaitwa mezani leo...
Ngoja tuwaulize Morocco.Moisemusajiografii kwani kila mtu mweupe ni mzungu?