Wakae walime halafu bei upange wewe au sio!? Hata Sasa free education inawezekana. Mbona Pesa Nyingi TU mnaiba huko juu kwenye vyeo, na ma_vyeo uchwara ya kichawa kinao TU yakichoma Kodi za hao Raia!?cleopa msuya akiwa waziri mkuu alisema kila mtu abebe msalaba wake, ni huruma za JK akatoa angalau free education sasa ndo umekuwa upuuzi wa watu, tuondoe free education kila mtu alipe ada ya mwanae huwezi mpe kazi ya kuchunga ngombe au mkae mlime
Stahili zake sawa! Wanatoa familia yake!? Au Kodi za Raia!?kwani sio stahiki zake? huyu ni amiri jeshi mkuu, hatasie tulivyokuwa jeshini tulipewa hadi chupi, hizo ni stahiki zake
naona dish haliko sawaStahili zake sawa! Wanatoa familia yake!? Au Kodi za Raia!?
Makhanithi kama wewe ndo huwa mnajitahidi kweli kuonyesha eti na nyie mna uwezo wa kuzaa. Wazazi wenyewe wako kimya khanithi wajitangaza. Haikusaidii, rudi tu kwa basha lakomuulize mama yako kama mimi ni mavi... ulipatikana na mavi kama ni hivyo !
Ni wengi sana ambao wakiambiwa maisha ni magumu kwasbb ya uongozi mbovu wanauliza ..."kwani serikali gani duniani huwa inawapa hela wananchi wake?"Mkuu ni ujinga, yaani kutokujitambua. Ni CCM imewafanya hivi. Unajua hata mtaani watu sasa hivi wanaamini kuwa kusapoti chama cha siasa au kujihusisha na siasa ni kuwapa faida viongozi. Yaani watu hawaoni correlation kati ya maisha yao ya kila siku na uongozi wa nchi.
No, nlitaka tu tusijisahaulishe kuwa matatizo hayajaanza kwa huyu Mama kama wengine wanavyotaka tuamini.Kwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?
hizi picha na maelezo mod wayapandishe juu kwenye heading kuweka mambo sawaDebunked..
Hizo picha shule hiyo HAIPO Tanzania ni Kenya..inaitwa mangororo primary school na hata hivyo hizo picha zilipigwa mwaka 2019,
Kwenye attachment angalia zote before and after maboresho..
Simple Google lens search utapata ukweli
kabisa, sasahivi kero zilizopo zinamalizwa na akina makonda tu na nyingi ni dosari wala sio matatizoNo, nlitaka tu tusijisahaulishe kuwa matatizo hayajaanza kwa huyu Mama kama wengine wanavyotaka tuamini.
Ni kwamba huyu Mama kapunguza sana shida za watoto mashuleni kuliko watangulizi wake wote
Kukaa chini ni umasikini kukaa kwenye mkeka siyo umasikinindo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
It doesn't help anyway. The central issue is kutapanya hela za walipa kodiDebunked..
Hizo picha shule hiyo HAIPO Tanzania ni Kenya..inaitwa mangororo primary school na hata hivyo hizo picha zilipigwa mwaka 2019,
Kwenye attachment angalia zote before and after maboresho..
Simple Google lens search utapata ukweli
Hizi hoja ni za kichaa pekee.Hayo mazingira unaona siyo masikini?ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Sisi tulikuaga tunatoka darasani tunaka chini kufundishw kuanza kuandika, hatukuandika kweny madatar moja kw moja, tulianza chini kila mtu anampa kijispace mwenzake alaf mwalim yup mbele na ubao mnafundishw kuanfik heruf moja moja then walim walivoona tyr tukaw sas hatukai ten chin ya muemb tunaingia darasn tuna andik kwe madaftr kwa pensel.sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Yaaan kuna watu hujifutahakili ingali wanaelewa kizungumzwacho kuhusu hao walio kwenye maji juu kavunga kang'ang'anana wachini ya muembe ili atetetee ujinga wake na ndo watu hao tunaowategemea kulitetea taifa kaz tunayo.Haangalii hoja ye anaangalia kosa dah Tanzania nchiyangu watu wako watakua lini?kuna majengo meuoe naamini yaho ni madarasa, kukaa chini ya mwembe hatujaanza leo, watoto wamekaa chini ya mti wakiimba nyimbo, wazee wamekaa chini ya miti wakifanya vikao vya kimila, kama ulizaliwa ukakuta kochi kwenu kiti kanisani stuli bar kiti ofisini basi mshukuru mungu na usitukane wasiokuwa navyo, kumbuka kuna wanaoswali barabarani pale msikiti wa kwamtoro kwani na nafasi ndani imejaa haimaanishi ni wapumbavu