Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Tembelea na zahanati Singisa wagonjwa wanavyobeba kwenye machela toka Rumba Juu, Ntala na Nyamigadu.. Niwaambie kitu zaidi ya CCM.
huko si ni kwao lissu mbona hachangishi hela ya kununua ambulance badala yake anachangisha pesa za kununua gari lake binafsi la kutembelea, muwe masikini kwa misimamo ya kipuuzi msingizie serikali
 
Mimi ni mdau wa michezo. Ila niwe tu mkweli; siungi mkono hiki kinachofanywa na Rais wa nchi kwa vilabu vyetu.

Hiki anachofanya Rais, ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Labda angeweka wazi kama hizo pesa anato kwenye mshahara wake.

Vilabu vina uongozi na taratibu zake. Na hata huu utaratibu wa kutoa motisha na bonasi, uko miak yote pale timu inapofanya vizuri. Sioni mantiki ya Rais kujiingiza kwenye hizi siasa, badala ya kuwekeza nguvu kubwa kwenye kutatua matatizo yanayo wakabili wananchi masikini.
Michezo na burudani ni sekta inayohitaji kubustiwa Ili iajiri vijana wengi zaidi,rais ana fungu hilo,simba na yanga zikifika mbali obvious zinavivuta vilabu vingine kwenye level hizo,hapo utakua umewezesha ajira ndani na nje ya nchi
 
Inaweza kuwa ni Mwaka huu huu wakati wa Masika au Vuli.
kwahiyo huna uhakika ni wapi na lini! umeokota mapicha mitandaoni na kuanza kutupa lawama serikalini usijekuta wala sio tanzania na kama nitanzania usijekuta lilishafanyiwa kazi, hela za mama samia za covid zilitumika kujenga madarasa inaweza kuta hata hiyo shule haiko vivyo tena
 
Tawala nyingi sana za ki-Afrika haziwajibiki kwa Wananchi na wala matatizo ya Wananchi siyo matatizo ya watawala, hivyo basi, kila mtu abebe msalaba wake.
wapi wanakojali? nenda canada au australia pamoja na makodi makubwa hakuna elimu ya bure, na kuna wazungu wengi tu hawakwenda shule hawajui kusoma na kuandika
 
kwahiyo huna uhakika ni wapi na lini! umeokota mapicha mitandaoni na kuanza kutupa lawama serikalini usijekuta wala sio tanzania na kama nitanzania usijekuta lilishafanyiwa kazi, hela za mama samia za covid zilitumika kujenga madarasa inaweza kuta hata hiyo shule haiko vivyo tena
Nimeipeleka Jamii Check ili ifanyiwe fact checking aliteiweka hiyo Picha ni mleta mada Retired
 
kwahiyo huna uhakika ni wapi na lini! umeokota mapicha mitandaoni na kuanza kutupa lawama serikalini usijekuta wala sio tanzania na kama nitanzania usijekuta lilishafanyiwa kazi, hela za mama samia za covid zilitumika kujenga madarasa inaweza kuta hata hiyo shule haiko vivyo tena
Wewe mweyewe huna uhakika unajiongelea tu.
 
Back
Top Bottom