Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Elfu 70 mpaka 90.
Naunga Elfu 2 elfu 3 mpaka elfu 4 kwa Siku.
Hivi hakuna Pocket wifi inayolipiwa per Speed Kama Home wifi?Maana Sio Mtu wa Kushinda Sana Nyumbani
 
Mtachagua kuhamia burundi au?


Burundi unapata GB 30 'Usiku pack' chini ya dola moja.
 
Wanasema voda hawana huduma hiyo. Mpaka Tigo tu. Na mie tigo siwakubali. Huku kwetu speed yao ovyo kabisa
Daaah mm natumia voda tu bando huwa linanimalizia sana pesa japo nafanya KWA ajili ya biashara, hakuna namna nyingine mkuu KWA voda naomba muongozo ndugu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…