Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Aisee....umetisha mkuu.

Unapokea ngapi monthly mkuu
 
Mimi binafsi kwa wiki natumia elfu 40 kwa mwezi x 4 = 160,000 hiyo 40 ni kila kitu kuanzia umeme mpaka kingamuzi na kuhonga vi afu tatu humo humo so mshahara mmoja nakaa nao zaid ya miez 3
 
Mimi binafsi kwa wiki natumia elfu 40 kwa mwezi x 4 = 160,000 hiyo 40 ni kila kitu kuanzia umeme mpaka kingamuzi na kuhonga vi afu tatu humo humo so mshahara mmoja nakaa nao zaid ya miez 3
Hongera inaonekana mshahara wako si haba
 
Mshahara wangu huwa boss anakata kabisa maana ananidai zaidi ya huo mshahara
 
Mshahara wangu huwa boss anakata kabisa maana ananidai zaidi ya huo mshahara
Wewe majanga ase kunakipindi nilitaka kumkopa boss roho ikasita boss hana kifua anaweza akaja akamwaga sir zako kwa watu
 
We jamaa acha dharau, wakati ukiingia tu unakutana na salary advance, nalipa deni la crdb then nakopa tena ili maisha yaendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…