Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo
Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut
Mfano TRC wanataka kununua engine za diesel ni kituko ila hawana mshipa wa aibu watanunu-mimi tokea kipindi cha magufuli niliona kwa mtazamo wangu binafsi hii train ingetakiwa iishie dodoma kwanza isiendelee mpaka huko mwanza na kigoma
Sababu ni kama nchi hatuna uwezo wa rasilimali watu kwenye management wanaoweza simamia mradi kama huu wa umeme kumbuka mwendokasi imeishinda serikali
Hata ingewezekana ceo wa TRC angetakiwa aletwe foreigner ambaye alishawahi kufanya kazi kwenye train za umeme anajua changamoto zake na namna ya kuzikabili
Kadogoso naamini hana uzoefu wowote wa kusimamia mirad ya train ya umeme yaani umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi wa umeme hiki ni kichekesho
sisi waafrika kwenye management bado sana tunamambo mengi sana ya kujifunza sababu upeo wetu kama waafrika ni mdogo hatufikirii mbali ndo shida inapoanzia hapo