Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo

Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut

Mfano TRC wanataka kununua engine za diesel ni kituko ila hawana mshipa wa aibu watanunu-mimi tokea kipindi cha magufuli niliona kwa mtazamo wangu binafsi hii train ingetakiwa iishie dodoma kwanza isiendelee mpaka huko mwanza na kigoma

Sababu ni kama nchi hatuna uwezo wa rasilimali watu kwenye management wanaoweza simamia mradi kama huu wa umeme kumbuka mwendokasi imeishinda serikali

Hata ingewezekana ceo wa TRC angetakiwa aletwe foreigner ambaye alishawahi kufanya kazi kwenye train za umeme anajua changamoto zake na namna ya kuzikabili

Kadogoso naamini hana uzoefu wowote wa kusimamia mirad ya train ya umeme yaani umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi wa umeme hiki ni kichekesho

sisi waafrika kwenye management bado sana tunamambo mengi sana ya kujifunza sababu upeo wetu kama waafrika ni mdogo hatufikirii mbali ndo shida inapoanzia hapo
 
Wampe Azam
 
Ile train isafiri masaa mengi zaidi na sio unafika unaambiwa imejaa
 
Mtajuana wenyewe na mamiradi yenu ya kukurupuka.

Niliwaambia Jengeni Barabara saizi zingekuwa zinazalisha.

Kila km 1 ya lami ikikamilika inaanza Kuzalisha ila reli ni Hadi yote na ndio hii inaleta mauza uza 😂😂
 
Tatizo huwa hawakubali kuwa wamefeli
Kungekuwa na upinzani wa kweli au hata waandishi wanaojua kazi zao basi wangekuwa kila leo wanawabana kwa maswali

Kama wameshindwa wasalimu tu amri wala sio aibu kuliko kuendesha kihasara kama shirika la ndege
 
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
Yaani kurudi tena kwenye disel - khaa!! Kwani umeme wa lile bwawa pendwa ni wa kisiasa?? (Mchongo)
 
Binafsi ninadhani kuna shida, sababu big boss akiulizwa changamoto za kukwama SGR anakuwa mkali na kushindwa kujibu kwa hoja, anakwambia au tukupe wewe uwe boss, yaani yule dingi ana negative attitude flani hataki kukosolewa na kujifunza.

Nafikiri si mtu sahihi kwa maoni yangu, viatu ni vikubwa!! He has pure African negative mindset!!

Treni imekwamisha watu saa 5 watu wamekosa madili, business zimeharibika , interview, wamekosa , wengine wamekosa kuwahi kuzika, uungwana ni kuwaomba msamaha na kusema utafanyaje isitokee tena na sio kuleta stori nyingi na kuwafokea!! Anaambiwa huduma mbovu ya chakula anajibu kisiasa!!

Nafikiri mradi umemshinda inahitajika apewe kijana mwenye ndoto na positive thinking!!.
 
Binafsi ninadhani kuna shida, sababu big boss akiulizwa changamoto za kukwama SGR anakuwa mkali na kushindwa kujibu kwa hoja, anakwambia au tukupe wewe uwe boss, yaani yule dingi ana negative attitude flani hataki kukosolewa na kujifunza.

Nafikiri si mtu sahihi kwa maoni yangu, viatu ni vikubwa!!

Nafikiri mradi umemshinda inahitajika apewe kijana mwenye ndoto.
Angetakiwa apewe mtu mwenye uzoefu wa kusimamia treni za umeme na mtu kama huyo atakua ni foreigner afanye hata miaka 5 baada ya hapo watanzania na wao watakua wameshapata uzoefu
 
Matatizo yetu mengi yanatokana na Mismanagement.

Hata lile bwawa la umeme la rufiji.. linaenda vizuri sababu Arab contractor bado yupo site .

Siku akimaliza kazi yake tu na kuondoka wakapewa wazawa walisimamie.. bwawa litaacha kuzalisha umeme na tutarudi kwenye mgao mkali.

Waswahili huwa hatuwezi kujisimamia
 
Juzi traffic kataka nimpe rushwa nikamuuliza kwenye interview yako ulisema kama utapokea rushwa?.🤣
 
Back
Top Bottom