MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
Siyo bilioni 20 tena?Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
View attachment 3391664
bila kombe au bila hela?Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe
Wa kimataifa, yule binti yanga hii itamuua 😂😂.Atakuja hapa na hoja yake ya raking za CAF
Ngoja atatoka huko mavumbini na kusemaWa kimataifa, yule binti yanga hii itamuua 😂😂.
Ubaya ni kua tunazidi kufyeka vichaka.
Hicho kichaka cha rank ni suala la muda tu, sijui atajificha wapi.
Tuliahidiana kutafutana baada ya mechi ila kala kona, simuoni na simu zangu hashiki.
Cc Jadda
Hao ndio aina ya mashabiki Ahmed Ally anawataka, anawaletea sajiri za kijanjajanja wanajaa.Ngoja atatoka huko mavumbini na kusema
Simba ipo nafasi ya 4 CAF
GSM anaharibu ligi
Yanga Huwa anafungwa Simba Kwa uchawi tu
Yaani tafrani kikubwa aweke umbumbumbu wake hadharani
Cha ajabu nini, kama huwezi kuwa shabiki kalime matikiti huko.Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
View attachment 3391664
Sasa si nilishakuambia kwenye ule uzi kwamba mkishafyeka hiko kichaka cha caf ranking ndio mje mtutambie, sasa yanga mmefanya kipi kipya ambacho simba hawajafanya kwani simba nayo si imeshachukua ubingwa mara nne mfululizo, sawa mmefyeka hiko kichaka ila simba nao wamefyeka kichaka cha medali za caf sasa hapo unafikiri kimebaki nini kama siyo uto kufyeka kichaka cha simba cha caf ranking sasaWa kimataifa, yule binti yanga hii itamuua 😂😂.
Ubaya ni kua tunazidi kufyeka vichaka.
Hicho kichaka cha rank ni suala la muda tu, sijui atajificha wapi.
Tuliahidiana kutafutana baada ya mechi ila kala kona, simuoni na simu zangu hashiki.
Cc Jadda