Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

Duuh sasa naanza kupata mashaka na uelewa wako hakuna aliyesema simba haihitaji makombe ya ndani hebu elewa kwanza hili, ninachosema hapa ni kwamba yanga haina cha kujisifia mbele ya simba kwa sababu kila walichonacho yanga tayari simba wanacho haijalishi ni mara ngapi, sasa kufanya vizuri ndani peke yake tu haisaidii yani tofauti na simba ninyi yanga inaonekana malengo yenu yameishia ndani tu, ila huko kimataifa hamjali kabisa hata mkiishia hatua za awali ilimradi mnamfunga simba basi hayo makombe ya kimataifa wala siyo shida zenu, sasa kwa hali hiyo mnaishusha hadhi ligi na kufanya watu watilie mashaka hata huo ushindi wenu wa ndani mnaupataje yani eti ligi inayosemwa ni ya nne kwa ubora africa bingwa wake anaishia makundi kimataifa, tena anatolewa na timu za kawaida kabisa wakati simba anayeonekana dhaifu anaishia hatua za juu kwa zaidi ya misimu mitano mfululizo na hata akitolewa anatolewa na timu kubwa zenye uzoefu, kwa mfano hata huko ulaya unaona timu kama psg ambao wanachukua makombe ya ufaransa kila msimu ila walikuwa wanadharaulika hadi kufikia hatua ligi ya ufaransa ikaitwa ligi ya wakulima mpaka walipochukua uefa msimu huu kwa mara ya kwanza ndio wameanza kuheshimika sasa

Hoja ni kwamba simba wanajua raha ya kushinda ubingwa wa makombe yote ya ndani hadi hiyo mara nne mfululizo haijalishi kwa ujumla wamechukua mara ngapi hapa tunaongelea hatua ambayo mmoja amefika na mwingine hajawahi kufika kabisa, kwa mfano real madrid ana makombe mengi ya uefa kuliko barcelona lakini pamoja na hayo real madrid hajawahi kushinda continental treble wakati barcelona ana treble mbili kwahiyo barca tayari anajua raha ya kushinda uefa ila madrid bado hajui raha ya kushinda treble, maana bado hajafika hatua hiyo na anatamani sana kufika hatua hiyo maana treble nayo ina heshima yake na hicho ndicho barca alichomzidi madrid kwahiyo kwa sasa madrid hana cha kumtambia barca ila barca anacho cha kumtambia madrid
Shida yako wewe ni mnazi wa Simba na sio mpira kwa ujumla.

Simba/Yanga wameanza lini kwenda kimataifa?? Huko nyuma walikua wanaishia wapi??
Unaandika as if Simba kaanza kuingia robo tangu miaka ya 90 mfululu kumbe hamna hata miaka 10 haizidi tangu hizi timu zimekua serious kimataifa.

Na bado progress yao wote ni nzuri, yaani kusema ati Yanga ni mbovu kimataifa unafeli, mtu aliefika fainali unasemaje mbovu kimataifa.

Mara ya mwisho Yanga kuishia hatua za awali ni msimu upi kama unakumbuka??

Mpaka sasa timu ziko vizuri mkuu, achana na ushabiki maandazi, hii yanga mbovu kimataifa ndio imekukanda mara 5 mfululu, hapa utasema akicheza na Simba anakamia, sasa kama unalijua hilo kwanini na wewe usikamie??

Ati kuna timu zinalipwa ziikamie Simba, jamani hizi mambo nani huwa anawaambia muandike ni aibu ujue, kwahiyo mnataka msikamiwe mshinde kirahisi??
 
sometime unasajili ili chenga nazo zionekane kwa lupase...... unataka kila muda ushindi
 
Inategemea anayeniona chizi ni nani maana hata machizi nao huwaona wenye akili zao kuwa ni machizi kama wao, timu siku zote lazima ijengwe tu haijalishi inachukua makombe au la na hilo wala siyo suala la kuwaambia, au kama mnataka basi anzeni kuwaambia viongozi wenu wajenge timu ili kimataifa wasiishie kutolewa na timu ndogo siyo wanasajili timu ya kuwakamia simba na kufyeka vichaka vya simba tu
Jengeni timu porojo hazichezi we mbumbumbu fc
 
Shida yako wewe ni mnazi wa Simba na sio mpira kwa ujumla.

Simba/Yanga wameanza lini kwenda kimataifa?? Huko nyuma walikua wanaishia wapi??
Unaandika as if Simba kaanza kuingia robo tangu miaka ya 90 mfululu kumbe hamna hata miaka 10 haizidi tangu hizi timu zimekua serious kimataifa.

Na bado progress yao wote ni nzuri, yaani kusema ati Yanga ni mbovu kimataifa unafeli, mtu aliefika fainali unasemaje mbovu kimataifa.

Mara ya mwisho Yanga kuishia hatua za awali ni msimu upi kama unakumbuka??

Mpaka sasa timu ziko vizuri mkuu, achana na ushabiki maandazi, hii yanga mbovu kimataifa ndio imekukanda mara 5 mfululu, hapa utasema akicheza na Simba anakamia, sasa kama unalijua hilo kwanini na wewe usikamie??

Ati kuna timu zinalipwa ziikamie Simba, jamani hizi mambo nani huwa anawaambia muandike ni aibu ujue, kwahiyo mnataka msikamiwe mshinde kirahisi??
Hakuna aliyesema yanga mbovu ila ninyi ndio mnaosema simba mbovu mimi hapa naongelea masuala ya kuzidiana ubora tu ila sijasema yanga mbovu na kama unajua yanga siyo mbovu kwa sababu ilifika fainali kwanini mnasema simba ni mbovu wakati imefika fainali hiyo hiyo, yani mashabiki wa yanga vigezo mnavyotumia kusema yanga ni bora ndio vigezo hivyo hivyo mnavyotumia kusema simba ni dhaifu ndio maana mnaonekana hamjui mpira bali mnatumia mihemko tu, simba hawachezi mpira wa kukamia ndio maana wakikutana na timu zinazokamia wanapata ugumu hawa wachezaji nao ni binadamu huwa wanacheza kwa kujilinda ili wasije wakapata majeraha wakaozea bench au wakashindwa kuuzika, kuhusu timu kupewa pesa ili ziikamie simba hivi hilo nalo ni suala la kubisha kweli ina maana huwa husikiagi kuna timu zinaahidiwa kiasi kadhaa endapo zitaifunga simba au kutoa nao draw ila timu hizo hizo zikicheza na yanga haziahidiwi kitu sasa kwa hali hiyo zitaacha kuikamia simba kweli, sisi hatujasema simba isikamiwe ila ikitokea simba imefungwa au imepata ushindi kwa penati au kwa dakika nyingi kuongezwa msianze kulialia na kusema simba mbovu bali muangalie hali halisi namna mechi ilivyochezwa kisha muangalie na hizo timu zinavyocheza na yanga na namna yanga wanavyopata magoli kisha ndio mje mchambue
 
Simba Hana uwezo wa kuifunga yanga Sasa hivi yaani hata sare simba uwezo Hana simba imetepeta jengeni timu porojo hizi hazitowasaidia mpira Kila mtu mwenye macho anauona
 
Hakuna aliyesema yanga mbovu ila ninyi ndio mnaosema simba mbovu mimi hapa naongelea masuala ya kuzidiana ubora tu ila sijasema yanga mbovu na kama unajua yanga siyo mbovu kwa sababu ilifika fainali kwanini mnasema simba ni mbovu wakati imefika fainali hiyo hiyo, yani mashabiki wa yanga vigezo mnavyotumia kusema yanga ni bora ndio vigezo hivyo hivyo mnavyotumia kusema simba ni dhaifu ndio maana mnaonekana hamjui mpira bali mnatumia mihemko tu, simba hawachezi mpira wa kukamia ndio maana wakikutana na timu zinazokamia wanapata ugumu hawa wachezaji nao ni binadamu huwa wanacheza kwa kujilinda ili wasije wakapata majeraha wakaozea bench au wakashindwa kuuzika, kuhusu timu kupewa pesa ili ziikamie simba hivi hilo nalo ni suala la kubisha kweli ina maana huwa husikiagi kuna timu zinaahidiwa kiasi kadhaa endapo zitaifunga simba au kutoa nao draw ila timu hizo hizo zikicheza na yanga haziahidiwi kitu sasa kwa hali hiyo zitaacha kuikamia simba kweli, sisi hatujasema simba isikamiwe ila ikitokea simba imefungwa au imepata ushindi kwa penati au kwa dakika nyingi kuongezwa msianze kulialia na kusema simba mbovu bali muangalie hali halisi namna mechi ilivyochezwa kisha muangalie na hizo timu zinavyocheza na yanga na namna yanga wanavyopata magoli kisha ndio mje mchambue
Ni wazi msimu huu haukua mzuri kwenu ndgu, mmeondoka patupu pasi na kombe lolote. Kwa msimu huu kitakwimu Yanga ni bora kuliko ninyi.

Ukija overall sasa ndio tunazidiana kwa angle rofauti tofauti.

Ishu ya kubebwa hiyo haina mjadala Simba na Yanga wote ni wanufaika. Hiyo ya kulipwa ili kukamia game wala sio ya kuishangaa maana ni kawaida sana hiyo. Labda kama unatafuta shimo la kutokea hizo ahadi hata simba ya yanga huwa wanapewa wakutanapo, na pia wanapewa wakitoka kimataifa ni kuongeza morali kwa wachezaji.
 
Back
Top Bottom