Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hii Simba ipo hoi taabani
We utopolo hebu acha kunichosha jadili hoja basi, kama caf hawahesabu points za cafcc niambie berkane kapandaje hadi nafasi ya nne na kumshusha simba kuwa wa tano ilihali hajawahi kushiriki hiyo cafcl, list ya fifa haihusishi vilabu ambavyo havijashiriki cafcl ila list ya caf inahusisha hivyo vilabu na ndio itatumika kuamua timu gani ikae kwenye pot namba ngapi kwenye hatua za makundi za hiyo michuanoUnajielewa unachokisema kweli? Kwamba caf club ranking ni vilabu bora, halafu fifa caf club ranking ni ya vilabu vya kushiriki nini?😂 hivi hata hiyo caf ranking unajua ni kwa ajili ya kupanga vilabu vinavyoshiriki caf champions league ndiyo maana hawajasema 'best clubs in africa' bali wamesema caf 5 year ranking, Same applies to FIFA Caf 4 year club ranking, ni ranks za vilabu vya caf vinavyotumika katika michuano ya fifa world cup. Kwa kifupi hauelewi na haujielewi unachokizungumza
Mimi kauli yangu huwa ni moja tu kwamba "till then say less and be humble" nikiwa na maana kama hamjafika simba walipofika basi tulieni tu, hayo mapori mliyotengeneza sijui ni yapi ila kwa sasa hamstahili kutamba kwa chochote mbele ya simba labda mzitambie hizo timu nyingine, na kama ninyi mnatengeneza mapori basi simba inatengeneza misitu na ndio mfalme wa nyika, vichaka, misitu pamoja na hayo mapori yenuSisi tunatengeneza mapori mkuu, hamuyawezi.
Next season itakua ya maajabu zaidi ya zilizopita huku vipigo mfululu vikiendeleq kuwashukia kila tukutanapo.
😀😀 simba imetengeneza msitu gani mkuu?? Rank?Mimi kauli yangu huwa ni moja tu kwamba "till then say less and be humble" nikiwa na maana kama hamjafika simba walipofika basi tulieni tu, hayo mapori mliyotengeneza sijui ni yapi ila kwa sasa hamstahili kutamba kwa chochote mbele ya simba labda mzitambie hizo timu nyingine, na kama ninyi mnatengeneza mapori basi simba inatengeneza misitu na ndio mfalme wa nyika, vichaka, misitu pamoja na hayo mapori yenu
Bilioni saba zinakuuma utadhani ulichangia mia nne yako!Vyura shida sana.Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
View attachment 3391664
Hapa tunalinganisha simba na yanga katika kila nyanja yani kila hatua ambayo mmoja kafika ila mwingine hajafika, kwa africa kiujumla wote simba na yanga bado wana safari ndefu ila tukija kibongobongo simba ni wakubwa, yani yanga wala hamna mafanikio yoyote ya kuwatambia simba kama ni makombe ya africa hata ninyi hamna, kwahiyo kinachobaki hapo ni nini kama siyo rank maana kila mlichonacho yanga simba wanacho, sasa yanga mna kipi cha kuwazidi simba lakini ukiuliza simba wana kipi cha kuwazidi yanga ndio hapo yanapokuja masuala ya rank, maana hapo walipofika simba ninyi hamjawahi fika japo mlipambana msimu huu mfike ila mkaangukia pua, hayo mambo ya club world cup wala hata usiyaongelee yani kwa sasa tunaongelea yaliyokwishafanyika siyo hizo ndoto zenu za abunuasi na alinacha😀😀 simba imetengeneza msitu gani mkuu?? Rank?
Kuungia robo mara 4 😂😂😂.??
Tafuteni makombe nyie watu, shauri yenu wenzenu miaka kadhaa ijayo tutaenda club world cup, hizo rank zenu haziwasaidii kwenye hilo, twaeni vikombe.
Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
Tumewazidi makombe ya Ndani, na msimu huu tumechukua makombe yote.Hapa tunalinganisha simba na yanga katika kila nyanja yani kila hatua ambayo mmoja kafika ila mwingine hajafika, kwa africa kiujumla wote simba na yanga bado wana safari ndefu ila tukija kibongobongo simba ni wakubwa, yani yanga wala hamna mafanikio yoyote ya kuwatambia simba kama ni makombe ya africa hata ninyi hamna, kwahiyo kinachobaki hapo ni nini kama siyo rank maana kila mlichonacho yanga simba wanacho, sasa yanga mna kipi cha kuwazidi simba lakini ukiuliza simba wana kipi cha kuwazidi yanga ndio hapo yanapokuja masuala ya rank, maana hapo walipofika simba ninyi hamjawahi fika japo mlipambana msimu huu mfike ila mkaangukia pua, hayo mambo ya club world cup wala hata usiyaongelee yani kwa sasa tunaongelea yaliyokwishafanyika siyo hizo ndoto zenu za abunuasi na alinacha
eheee hayo uliyosema yote ni kweli, kwahio?Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
View attachment 3391664
Hebu elewa kwanza hoja nimesema hapa tunaongelea mafanikio ambayo mmoja kayafikia na mwingine hajawahi kuyafikia kabisa, sasa makombe ya ndani unamtambiaje simba ambaye nayo kashayachukua mengi tu, tena kashachukua hadi hiyo mara nne mfululizo ndio maana nikasema labda mzitambie hizo timu nyingine ila siyo simba, maana kwa sasa simba malengo yao ni kuchukua makombe ya kimataifa ambayo hawajawahi kuchukua, simba hawasubiri eti yanga wafikie hatua fulani ili wao waje kufyeka vichaka hizo ni tabia za yanga tuTumewazidi makombe ya Ndani, na msimu huu tumechukua makombe yote.
Ninyi hamjapata kitu, au hilo hulioni.??
Mbona unaleta hoja ambazo zinakufavour wewe, ukiletewa zinazokukanda unazikataa.Hebu elewa kwanza hoja nimesema hapa tunaongelea mafanikio ambayo mmoja kayafikia na mwingine hajawahi kuyafikia kabisa, sasa makombe ya ndani unamtambiaje simba ambaye nayo kashayachukua mengi tu, tena kashachukua hadi hiyo mara nne mfululizo ndio maana nikasema labda mzitambie hizo timu nyingine ila siyo simba, maana kwa sasa simba malengo yao ni kuchukua makombe ya kimataifa ambayo hawajawahi kuchukua, simba hawasubiri eti yanga wafikie hatua fulani ili wao waje kufyeka vichaka hizo ni tabia za yanga tu
Ona hii kenge, eti makombe tushachukua sana, kwa hiyo ushachukia sana kumzidi Yanga? Yanga ×31 wakati huo 5imba ×20 halafu unasema eti wasijilinganishe mshachukua saaana 😂 aise Rage apewe uongozi 🙌Hebu elewa kwanza hoja nimesema hapa tunaongelea mafanikio ambayo mmoja kayafikia na mwingine hajawahi kuyafikia kabisa, sasa makombe ya ndani unamtambiaje simba ambaye nayo kashayachukua mengi tu, tena kashachukua hadi hiyo mara nne mfululizo ndio maana nikasema labda mzitambie hizo timu nyingine ila siyo simba, maana kwa sasa simba malengo yao ni kuchukua makombe ya kimataifa ambayo hawajawahi kuchukua, simba hawasubiri eti yanga wafikie hatua fulani ili wao waje kufyeka vichaka hizo ni tabia za yanga tu
Duuh sasa naanza kupata mashaka na uelewa wako hakuna aliyesema simba haihitaji makombe ya ndani hebu elewa kwanza hili, ninachosema hapa ni kwamba yanga haina cha kujisifia mbele ya simba kwa sababu kila walichonacho yanga tayari simba wanacho haijalishi ni mara ngapi, sasa kufanya vizuri ndani peke yake tu haisaidii yani tofauti na simba ninyi yanga inaonekana malengo yenu yameishia ndani tu, ila huko kimataifa hamjali kabisa hata mkiishia hatua za awali ilimradi mnamfunga simba basi hayo makombe ya kimataifa wala siyo shida zenu, sasa kwa hali hiyo mnaishusha hadhi ligi na kufanya watu watilie mashaka hata huo ushindi wenu wa ndani mnaupataje yani eti ligi inayosemwa ni ya nne kwa ubora africa bingwa wake anaishia makundi kimataifa, tena anatolewa na timu za kawaida kabisa wakati simba anayeonekana dhaifu anaishia hatua za juu kwa zaidi ya misimu mitano mfululizo na hata akitolewa anatolewa na timu kubwa zenye uzoefu, kwa mfano hata huko ulaya unaona timu kama psg ambao wanachukua makombe ya ufaransa kila msimu ila walikuwa wanadharaulika hadi kufikia hatua ligi ya ufaransa ikaitwa ligi ya wakulima mpaka walipochukua uefa msimu huu kwa mara ya kwanza ndio wameanza kuheshimika sasaMbona unaleta hoja ambazo zinakufavour wewe, ukiletewa zinazokukanda unazikataa.
Kwani kutaka hayo ya kimataifa si ni mpaka afanye vizuri ndani mkuu, mbona ishu ya kutumia akili ndogo kabisa hiyo.
Kwamba project ya Simba sio kuchukua ubingwa wa ndani ila kimataifa?? Una hakika viongozi wako wanajua malengo "yako" haya??
Usilete habari za "sizitaki mbichi hizi", simba itakua timu pekee isiyohitaji makombe 😀😀
Hoja ni kwamba simba wanajua raha ya kushinda ubingwa wa makombe yote ya ndani hadi hiyo mara nne mfululizo haijalishi kwa ujumla wamechukua mara ngapi hapa tunaongelea hatua ambayo mmoja amefika na mwingine hajawahi kufika kabisa, kwa mfano real madrid ana makombe mengi ya uefa kuliko barcelona lakini pamoja na hayo real madrid hajawahi kushinda continental treble wakati barcelona ana treble mbili kwahiyo barca tayari anajua raha ya kushinda uefa ila madrid bado hajui raha ya kushinda treble, maana bado hajafika hatua hiyo na anatamani sana kufika hatua hiyo maana treble nayo ina heshima yake na hicho ndicho barca alichomzidi madrid kwahiyo kwa sasa madrid hana cha kumtambia barca ila barca anacho cha kumtambia madridOna hii kenge, eti makombe tushachukua sana, kwa hiyo ushachukia sana kumzidi Yanga? Yanga ×31 wakati huo 5imba ×20 halafu unasema eti wasijilinganishe mshachukua saaana 😂 aise Rage apewe uongozi 🙌
Hizo hatua unajitungia mwenyewe sio ili kujifurahisha? Haya 5imba anajua utamu wa kubeba ligi zaidi ya mara 30? Hiyo hatua mmewahi kufika? 5imba anajua raha ya kuwaa top 10 FIFA CAF WC Ranking? 5imba anajua utamu wa hatua ya kushinda derby 5 mfululizo? Huo utamu na hizo raha haujawahi usidanganye kwamba eti hakuna jipya,Jipya ndiyo hilo sasa!Duuh sasa naanza kupata mashaka na uelewa wako hakuna aliyesema simba haihitaji makombe ya ndani hebu elewa kwanza hili, ninachosema hapa ni kwamba yanga haina cha kujisifia mbele ya simba kwa sababu kila walichonacho yanga tayari simba wanacho haijalishi ni mara ngapi, sasa kufanya vizuri ndani peke yake tu haisaidii yani tofauti na simba ninyi yanga inaonekana malengo yenu yameishia ndani tu, ila huko kimataifa hamjali kabisa hata mkiishia hatua za awali ilimradi mnamfunga simba basi hayo makombe ya kimataifa wala siyo shida zenu, sasa kwa hali hiyo mnaishusha hadhi ligi na kufanya watu watilie mashaka hata huo ushindi wenu wa ndani mnaupataje yani eti ligi inayosemwa ni ya nne kwa ubora africa bingwa wake anaishia makundi kimataifa, tena anatolewa na timu za kawaida kabisa wakati simba anayeonekana dhaifu anaishia hatua za juu kwa zaidi ya misimu mitano mfululizo na hata akitolewa anatolewa na timu kubwa zenye uzoefu, kwa mfano hata huko ulaya unaona timu kama psg ambao wanachukua makombe ya ufaransa kila msimu ila walikuwa wanadharaulika hadi kufikia hatua ligi ya ufaransa ikaitwa ligi ya wakulima mpaka walipochukua uefa msimu huu kwa mara ya kwanza ndio wameanza kuheshimika sasa
Hoja ni kwamba simba wanajua raha ya kushinda ubingwa wa makombe yote ya ndani hadi hiyo mara nne mfululizo haijalishi kwa ujumla wamechukua mara ngapi hapa tunaongelea hatua ambayo mmoja amefika na mwingine hajawahi kufika kabisa, kwa mfano real madrid ana makombe mengi ya uefa kuliko barcelona lakini pamoja na hayo real madrid hajawahi kushinda continental treble wakati barcelona ana treble mbili kwahiyo barca tayari anajua raha ya kushinda uefa ila madrid bado hajui raha ya kushinda treble, maana bado hajafika hatua hiyo na anatamani sana kufika hatua hiyo maana treble nayo ina heshima yake na hicho ndicho barca alichomzidi madrid kwahiyo kwa sasa madrid hana cha kumtambia barca ila barca anacho cha kumtambia madrid
Siyo kujitungia mwenyewe huo ndio mpira wenzetu wazungu wenye mpira wao wanathamini kila hatua na kila hatua kwao ni rekodi halafu ninyi huku ndio mnajifanya mnaleta ujuaji, huo utamu wa kubeba ligi unapimwaje kulingana na idadi ya makombe yani utamu wa kubeba mara 30 unautofautishaje na utamu wa kubeba mara 20 na kitu, kama hadi kushinda derby tano mfululizo kwenu ni mafanikio basi msiwashangae wanasimba wanapojisifia kucheza robo fainali tano mfululizo kimataifa maana ninyi hamjawahi, sasa unajisifia kuwa kwenye top ten ya fifa club world cup rank wakati hata hiyo club world cup yenyewe huna uhakika wa kushiriki maana huna uhakika hata wa kucheza fainali cafcl hivi karibuni achilia mbali kubeba kombe lenyewe, mwenzako simba yupo kwenye top five ya caf rank ya vilabu bora barani afrika kwa misimu mitano ya hivi karibuni huku wewe unajisifia kuwa kwenye list ya michuano ambayo upo kama msindikizaji tu kwa sasaHizo hatua unajitungia mwenyewe sio ili kujifurahisha? Haya 5imba anajua utamu wa kubeba ligi zaidi ya mara 30? Hiyo hatua mmewahi kufika? 5imba anajua raha ya kuwaa top 10 FIFA CAF WC Ranking? 5imba anajua utamu wa hatua ya kushinda derby 5 mfululizo? Huo utamu na hizo raha haujawahi usidanganye kwamba eti hakuna jipya,Jipya ndiyo hilo sasa!
Jengeni timu acheni porojo hapa unaonekana chizi Kwa unachokiongeaSiyo kujitungia mwenyewe huo ndio mpira wenzetu wazungu wenye mpira wao wanathamini kila hatua na kila hatua kwao ni rekodi halafu ninyi huku ndio mnajifanya mnaleta ujuaji, huo utamu wa kubeba ligi unapimwaje kulingana na idadi ya makombe yani utamu wa kubeba mara 30 unautofautishaje na utamu wa kubeba mara 20 na kitu, kama hadi kushinda derby tano mfululizo kwenu ni mafanikio basi msiwashangae wanasimba wanapojisifia kucheza robo fainali tano mfululizo kimataifa maana ninyi hamjawahi, sasa unajisifia kuwa kwenye top ten ya fifa club world cup rank wakati hata hiyo club world cup yenyewe huna uhakika wa kushiriki maana huna uhakika hata wa kucheza fainali cafcl hivi karibuni achilia mbali kubeba kombe lenyewe, mwenzako simba yupo kwenye top five ya caf rank ya vilabu bora barani afrika kwa misimu mitano ya hivi karibuni huku wewe unajisifia kuwa kwenye list ya michuano ambayo upo kama msindikizaji tu kwa sasa
Ulitaka ukambandue viwili nini? 😀Wa kimataifa, yule binti yanga hii itamuua 😂😂.
Ubaya ni kua tunazidi kufyeka vichaka.
Hicho kichaka cha rank ni suala la muda tu, sijui atajificha wapi.
Tuliahidiana kutafutana baada ya mechi ila kala kona, simuoni na simu zangu hashiki.
Cc Jadda
Inategemea anayeniona chizi ni nani maana hata machizi nao huwaona wenye akili zao kuwa ni machizi kama wao, timu siku zote lazima ijengwe tu haijalishi inachukua makombe au la na hilo wala siyo suala la kuwaambia, au kama mnataka basi anzeni kuwaambia viongozi wenu wajenge timu ili kimataifa wasiishie kutolewa na timu ndogo siyo wanasajili timu ya kuwakamia simba na kufyeka vichaka vya simba tuJengeni timu acheni porojo hapa unaonekana chizi Kwa unachokiongea