Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

Sasa si nilishakuambia kwenye ule uzi kwamba mkishafyeka hiko kichaka cha caf ranking ndio mje mtutambie, sasa yanga mmefanya kipi kipya ambacho simba hawajafanya kwani simba nayo si imeshachukua ubingwa mara nne mfululizo, sawa mmefyeka hiko kichaka ila simba nao wamefyeka kichaka cha medali za caf sasa hapo unafikiri kimebaki nini kama siyo uto kufyeka kichaka cha simba cha caf ranking sasa
Kwenye uzi wa mechi nilikutag sana hukureply kabisa aisee.

Tathmin yako ya ile gemu sikuipata kabisa mkuu, wakati ulisema utaongea baada ya dakika 90.
 
Hiyo b 7 wangesajili wachezaji watano tu wa maana kutoka Uarabuni huko wangebeba klabu bingwa Afrika. Ila sababu wanawadanganya mbumbumbu kila mwaka, shauri yao.
 
Kwenye uzi wa mechi nilikutag sana hukureply kabisa aisee.

Tathmin yako ya ile gemu sikuipata kabisa mkuu, wakati ulisema utaongea baada ya dakika 90.
Siyo notifications zote huwa naziona ila kwa vile yako ilihusu ile mechi utasema nilikimbia au siyo, huo ubora wenu tunataka tuuone na kimataifa siyo mnachagua mechi za kukamia vinginevyo mtaishusha hadhi ligi yetu, mnakuwa mabingwa halafu kimataifa mnaishia hatua za awali haya kila la heri katika kufyeka hiko kichaka cha rank
 
20250703_102625.jpg

Kimataifa ipi unayozungumzia? Mbona hamuonekani hapo?
 
View attachment 3392435
Kimataifa ipi unayozungumzia? Mbona hamuonekani hapo?
Ndivyo viongozi wenu wanavyowadanganya hiyo ni list ya vilabu vilivyofuzu kushiriki club world cup mwaka 2029 na hapo vitaenda vinne vya juu tu, na points zilianza kuhesabiwa msimu huu ambao simba hakushiriki kabisa cafcl ndio maana hayupo hapo, lete list ya caf ranking ambayo al ahly ndio anaongoza kwa ubora Africa kwa misimu mitano ya hivi karibuni kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili hebu acheni kujifariji
 
Unajielewa unachokisema kweli? Kwamba Caf 5 year ranking wanatumia ndondo cup kugawa hizo point? Unalazimisha kutumia hiyo ranking yako wakati kuna rank mpya za FIFA 😀 Kama ilivyo kwa 5 year caf ranking ndivyo ilivyo kwa FIFA - CAF 4 year ranking, point zinapatikana kwa ubora na mtindo huo huo! Kweli mbumbumbu mmechanganyikiwa
 
Hivi nyie mashabiki wa uto mnafikiria kwa kutumia nini sasa kama caf wangekuwa hawatumii cafcc kugawa point berkane angefikaje kwenye nafasi ya nne na kumshusha simba kuwa wa tano hayo yote ni mashindano ya caf sasa kwanini cafcc isihesabike kwenye kugawa point, hiyo list ya fifa ni ya vilabu vitakavyoenda kushiriki fifa club world cup mwaka 2029 na wanachukua top four walioshiriki cafcl tu na siyo cafcc ndio maana unaona simba haipo hapo sababu msimu huu haijashiriki cafcl, mnasahau hata ninyi mmefika nafasi ya 11 kwenye caf ranking kwa baadhi ya point za ndondo hiyo hiyo ambayo viongozi wenu walipeleka zile medali ikulu ila baada ya kuona simba wamefyeka kichaka ndio mnajifanya eti mashindano ya ndondo narudia acheni kujifariji
 
Siyo notifications zote huwa naziona ila kwa vile yako ilihusu ile mechi utasema nilikimbia au siyo, huo ubora wenu tunataka tuuone na kimataifa siyo mnachagua mechi za kukamia vinginevyo mtaishusha hadhi ligi yetu, mnakuwa mabingwa halafu kimataifa mnaishia hatua za awali haya kila la heri katika kufyeka hiko kichaka cha rank
Ulikimbia hilo liko wazi.
Maana maagano yetu uliandika tusibishane ubora wa timu kabla ya mechi, na mi nilikwambia ile game tutashinda ukataka niache akiba ya maneno maana mna kikosi bora.

Mechi imepita umekula buyu, tag zangu huzioni 😂😂.

Hiyo kimataifa ni mipango na mikakati mkuu, hata ninyi kolo timu haikuanzishwa 2016 halafu 2017 mkaenda kutoboa huko.

Mlikaa, mkapanga mpaka hatua mliyofika.
Yanga bado inaendelea kufyeka vichaka vyenu kimoja baada ya kingine.

Soon hata jf hutaiona kwenye simu yako sio notifications pekee 😂😂
 
Ndivyo viongozi wenu wanavyowadanganya hiyo ni list ya vilabu vilivyofuzu kushiriki club world cup mwaka 2029 na hapo vitaenda vinne vya juu tu, na points zilianza kuhesabiwa msimu huu ambao simba hakushiriki kabisa cafcl ndio maana hayupo hapo, lete list ya caf ranking ambayo al ahly ndio anaongoza kwa ubora Africa kwa misimu mitano ya hivi karibuni kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili hebu acheni kujifariji
Kwani hiyo CAF ranking inayochukua miaka 5, miaka 2 ya mwanzo Yanga alishiriki?
Miaka 2 ya mwanzo basi nayo tuitoe ili tupate usawa wa kufanya comparison, tuone vizuri hicho kichaka cha nafasi ya 4.
 
Tafuta hela wewe maskin na wewe uwe na uwezo wa kununua wachezaji kwa bilioni 7 tofaut na hapo endelea kuhesabu magari ya watu mjini mamaeh.
 
Ulikimbia hilo liko wazi.
Maana maagano yetu uliandika tusibishane ubora wa timu kabla ya mechi, na mi nilikwambia ile game tutashinda ukataka niache akiba ya maneno maana mna kikosi bora.

Mechi imepita umekula buyu, tag zangu huzioni 😂😂.

Hiyo kimataifa ni mipango na mikakati mkuu, hata ninyi kolo timu haikuanzishwa 2016 halafu 2017 mkaenda kutoboa huko.

Mlikaa, mkapanga mpaka hatua mliyofika.
Yanga bado inaendelea kufyeka vichaka vyenu kimoja baada ya kingine.

Soon hata jf hutaiona kwenye simu yako sio notifications pekee 😂😂
Hahaha mbona kinyonge sana ndugu yangu yani nikimbie kisa utani wa mechi, baada ya ile mechi nilikuta notifications nyingi sana wala siyo peke yako uliyenitag kunitania wako wengi tu, nahisi yako ilikuwa chini nami nilifungua zile za juu juu tu nikajibu baadhi nyingine nikaziacha na nyingine sikuziangalia kabisa, haya kila la heri katika kufyeka hiko kichaka ila mkumbuke tu wakati mnahangaika kukifyeka hiko simba tayari washafyeka vichaka vyenu vyote, sasa hivi wanahangaika kutengeneza vichaka vingine ili ninyi mje mvifyeke maana ndio malengo na mafanikio yenu kufyeka vichaka vya simba tu
 
Kwani hiyo CAF ranking inayochukua miaka 5, miaka 2 ya mwanzo Yanga alishiriki?
Miaka 2 ya mwanzo basi nayo tuitoe ili tupate usawa wa kufanya comparison, tuone vizuri hicho kichaka cha nafasi ya 4.
Tofautisha kati ya caf club ranking ya vilabu bora afrika na fifa club ranking ya vilabu vya kuenda kishiriki fifa club world cup, hapa tunaongelea nafasi ya simba kwenye caf club ranking sasa hiyo misimu miwili utaitoaje wakati yanga ilishiriki ila ilishindwa kufuzu makundi sababu ya ubovu wake, caf hawawezi kubagua mashindano yao waliyoyaanzisha wenyewe cafcl na cafcc yote yanatumika katika kugawa point za kuamua vilabu bora afrika na ndio kilichowapandisha berkane kwenye hiyo list ya vilabu bora afrika
 
Unajielewa unachokisema kweli? Kwamba caf club ranking ni vilabu bora, halafu fifa caf club ranking ni ya vilabu vya kushiriki nini?😂 hivi hata hiyo caf ranking unajua ni kwa ajili ya kupanga vilabu vinavyoshiriki caf champions league ndiyo maana hawajasema 'best clubs in africa' bali wamesema caf 5 year ranking, Same applies to FIFA Caf 4 year club ranking, ni ranks za vilabu vya caf vinavyotumika katika michuano ya fifa world cup. Kwa kifupi hauelewi na haujielewi unachokizungumza
 
Hahaha mbona kinyonge sana ndugu yangu yani nikimbie kisa utani wa mechi, baada ya ile mechi nilikuta notifications nyingi sana wala siyo peke yako uliyenitag kunitania wako wengi tu, nahisi yako ilikuwa chini nami nilifungua zile za juu juu tu nikajibu baadhi nyingine nikaziacha na nyingine sikuziangalia kabisa, haya kila la heri katika kufyeka hiko kichaka ila mkumbuke tu wakati mnahangaika kukifyeka hiko simba tayari washafyeka vichaka vyenu vyote, sasa hivi wanahangaika kutengeneza vichaka vingine ili ninyi mje mvifyeke maana ndio malengo na mafanikio yenu kufyeka vichaka vya simba tu
Sisi tunatengeneza mapori mkuu, hamuyawezi.
Next season itakua ya maajabu zaidi ya zilizopita huku vipigo mfululu vikiendeleq kuwashukia kila tukutanapo.
 
Back
Top Bottom