Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

Atakuja hapa na hoja yake ya raking za CAF
Wa kimataifa, yule binti yanga hii itamuua πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ubaya ni kua tunazidi kufyeka vichaka.

Hicho kichaka cha rank ni suala la muda tu, sijui atajificha wapi.

Tuliahidiana kutafutana baada ya mechi ila kala kona, simuoni na simu zangu hashiki.

Cc Jadda
 
Ngoja atatoka huko mavumbini na kusema
Simba ipo nafasi ya 4 CAF
GSM anaharibu ligi
Yanga Huwa anafungwa Simba Kwa uchawi tu
Yaani tafrani kikubwa aweke umbumbumbu wake hadharani
 
Ngoja atatoka huko mavumbini na kusema
Simba ipo nafasi ya 4 CAF
GSM anaharibu ligi
Yanga Huwa anafungwa Simba Kwa uchawi tu
Yaani tafrani kikubwa aweke umbumbumbu wake hadharani
Hao ndio aina ya mashabiki Ahmed Ally anawataka, anawaletea sajiri za kijanjajanja wanajaa.

Wao hawaoni makosa, na wale huwez ona mahali akiikosoa timu yake, yeye ni kumwaga makopakopa na kutupa lawama kwa wengine.
 
Sasa si nilishakuambia kwenye ule uzi kwamba mkishafyeka hiko kichaka cha caf ranking ndio mje mtutambie, sasa yanga mmefanya kipi kipya ambacho simba hawajafanya kwani simba nayo si imeshachukua ubingwa mara nne mfululizo, sawa mmefyeka hiko kichaka ila simba nao wamefyeka kichaka cha medali za caf sasa hapo unafikiri kimebaki nini kama siyo uto kufyeka kichaka cha simba cha caf ranking sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…