Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

Shida yako wewe ni mnazi wa Simba na sio mpira kwa ujumla.

Simba/Yanga wameanza lini kwenda kimataifa?? Huko nyuma walikua wanaishia wapi??
Unaandika as if Simba kaanza kuingia robo tangu miaka ya 90 mfululu kumbe hamna hata miaka 10 haizidi tangu hizi timu zimekua serious kimataifa.

Na bado progress yao wote ni nzuri, yaani kusema ati Yanga ni mbovu kimataifa unafeli, mtu aliefika fainali unasemaje mbovu kimataifa.

Mara ya mwisho Yanga kuishia hatua za awali ni msimu upi kama unakumbuka??

Mpaka sasa timu ziko vizuri mkuu, achana na ushabiki maandazi, hii yanga mbovu kimataifa ndio imekukanda mara 5 mfululu, hapa utasema akicheza na Simba anakamia, sasa kama unalijua hilo kwanini na wewe usikamie??

Ati kuna timu zinalipwa ziikamie Simba, jamani hizi mambo nani huwa anawaambia muandike ni aibu ujue, kwahiyo mnataka msikamiwe mshinde kirahisi??
 
sometime unasajili ili chenga nazo zionekane kwa lupase...... unataka kila muda ushindi
 
Jengeni timu porojo hazichezi we mbumbumbu fc
 
Hakuna aliyesema yanga mbovu ila ninyi ndio mnaosema simba mbovu mimi hapa naongelea masuala ya kuzidiana ubora tu ila sijasema yanga mbovu na kama unajua yanga siyo mbovu kwa sababu ilifika fainali kwanini mnasema simba ni mbovu wakati imefika fainali hiyo hiyo, yani mashabiki wa yanga vigezo mnavyotumia kusema yanga ni bora ndio vigezo hivyo hivyo mnavyotumia kusema simba ni dhaifu ndio maana mnaonekana hamjui mpira bali mnatumia mihemko tu, simba hawachezi mpira wa kukamia ndio maana wakikutana na timu zinazokamia wanapata ugumu hawa wachezaji nao ni binadamu huwa wanacheza kwa kujilinda ili wasije wakapata majeraha wakaozea bench au wakashindwa kuuzika, kuhusu timu kupewa pesa ili ziikamie simba hivi hilo nalo ni suala la kubisha kweli ina maana huwa husikiagi kuna timu zinaahidiwa kiasi kadhaa endapo zitaifunga simba au kutoa nao draw ila timu hizo hizo zikicheza na yanga haziahidiwi kitu sasa kwa hali hiyo zitaacha kuikamia simba kweli, sisi hatujasema simba isikamiwe ila ikitokea simba imefungwa au imepata ushindi kwa penati au kwa dakika nyingi kuongezwa msianze kulialia na kusema simba mbovu bali muangalie hali halisi namna mechi ilivyochezwa kisha muangalie na hizo timu zinavyocheza na yanga na namna yanga wanavyopata magoli kisha ndio mje mchambue
 
Simba Hana uwezo wa kuifunga yanga Sasa hivi yaani hata sare simba uwezo Hana simba imetepeta jengeni timu porojo hizi hazitowasaidia mpira Kila mtu mwenye macho anauona
 
Siku nyingine ukitaka kunijibu uwe na hoja
Jengeni timu imetepeta inatia huzuni Kila siku kulialia gsm kudhamini timu 8 nyie wenyewe mnashindwa kuifunga yanga mnataka nani aifunge
 
Ni wazi msimu huu haukua mzuri kwenu ndgu, mmeondoka patupu pasi na kombe lolote. Kwa msimu huu kitakwimu Yanga ni bora kuliko ninyi.

Ukija overall sasa ndio tunazidiana kwa angle rofauti tofauti.

Ishu ya kubebwa hiyo haina mjadala Simba na Yanga wote ni wanufaika. Hiyo ya kulipwa ili kukamia game wala sio ya kuishangaa maana ni kawaida sana hiyo. Labda kama unatafuta shimo la kutokea hizo ahadi hata simba ya yanga huwa wanapewa wakutanapo, na pia wanapewa wakitoka kimataifa ni kuongeza morali kwa wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…