Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CCM mambo yanachekesha sana...Labda mbingu ya yule papa wenu wa π
Samia mwokozi wao amewafikia.Hakuna Rais amewahi tekelezwa Ilani kumzidi Samia katika historia ya CCM nao wanalijua hili.CCM mambo yanachekesha sana...
watu wanakunywa maji machafu nyie kazi yenu kusema ushoga...
Kwenye shule za umma darasa moja lina wanafunzi zaidi ya 100, nyie mnawaza ushoga...
Vijijini kuna majengo ya zahanati lakini hazina matabibu nyie mko bize na ushoga...
gharama za maisha zinapanda kila siku nyie mnashadadia ushoga...
Mashoga walioko CCM hamuwaoni...
Nani alikwambia yule ni mjumbe wa Mungu?Labda mbingu ya yule papa wenu wa π
Naomba kuheshimu mawazo yako, hivyo hiyo 2025 Watanzania wampe yeyote tuu alimradi sio CCM?.Kwa taarifa yako kama ccm imeweza kutawala nchi hii muda wote huu, hakuna chama kitashindwa. Nenda hapo Kenya kawaulize wale waliokuwa wanasema KANU tu ndio inaweza kuongoza Kenya, na utazame kinachoendelea Sasa baada ya KANU kuelekea kuzimu.
Watu wenye mitazamo ya kizee tu ndio Bado wamenasa kwenye hiyo propaganda ya ccm kuwa wao tu ndio wanaweza kuongoza nchi.
Kwani Ilani ilikuwa inasemaje??Samia mwokozi wao amewafikia.Hakuna Rais amewahi tekelezwa Ilani kumzidi Samia katika historia ya CCM nao wanalijua hili.
Si nyie ma RC ndio Mungu wenu anawawekea mkono na baraka au? Umeanza kumkana? π€ͺπ€ͺNani alikwambia yule ni mjumbe wa Mungu?
Naona ubahamisha mjadalaπ
Kwani CCM wana umaalum gani??Naomba kuheshimu mawazo yako, hivyo hiyo 2025 Watanzania wampe yeyote tuu alimradi sio CCM?.
P
Usiharibu hii mada. Mada kuhusu Papa humu JF ziko nyingi tu, nenda huko ukajadili hayo mambo yako unayoyapenda..Si nyie ma RC ndio Mungu wenu anawawekea mkono na baraka au? Umeanza kumkana? π€ͺπ€ͺ
Inasema maji Vijijini iwe 85%Kwani Ilani ilikuwa inasemaje??
Ili nisiumize watu feelings zao, naomba hili nisilijibu, maana jibu lake linaumiza!.Kwani CCM wana umaalum gani??
Hapo Dar tu hawana maji toshelevu ndiyo itakuwa vijijini. Au wewe unaposema vijijini unamaanisha nini!!??Inasema maji Vijijini iwe 85%
Mjini 95%
Nije mimiNi lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?
Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
Wewe jibu...Ili nisiumize watu feelings zao, naomba hili nisilijibu, maana jibu lake linaumiza!.
P
una matatizo ya akili wewwSamia mwokozi wao amewafikia.Hakuna Rais amewahi tekelezwa Ilani kumzidi Samia katika historia ya CCM nao wanalijua hili.
View: https://www.instagram.com/p/C1pL_uzq8hi/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Tutaunda serikali ya mseto huku tukijipanga kuitisha uchaguzi,kwani CCM ni Mungu wa nchi hii?Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?
Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
Yaani chama kimepoteza mwelekeo na kukosa uhalali wa kuongoza nchi lakini bado watu wanakitetea,hivi Watanzania tulirogwa na nani!Ni kweli mkuu CCM ife ndio pona yetu kama taifa vinginevyo tutaendelea kuzalisha ma millionea Wana siasa Toka CCM
Hivi wewe unategemea Kila kitu atamaliza Samia Kwa miaka 3? Ndio maana ya hiyo miradi ambayo inaendelea.Bwawa la kidunda linaendelea na litafuta shida ya Maji Dar.Ni kazi nzuri ya Samia hii.Hapo Dar tu hawana maji toshelevu ndiyo itakuwa vijijini. Au wewe unaposema vijijini unamaanisha nini!!??
JWTZhivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.