Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CCM mambo yanachekesha sana...Labda mbingu ya yule papa wenu wa 🌈
watu wanakunywa maji machafu nyie kazi yenu kusema ushoga...
Kwenye shule za umma darasa moja lina wanafunzi zaidi ya 100, nyie mnawaza ushoga...
Vijijini kuna majengo ya zahanati lakini hazina matabibu nyie mko bize na ushoga...
gharama za maisha zinapanda kila siku nyie mnashadadia ushoga...
Mashoga walioko CCM hamuwaoni...