Wapi huko ?
The Icebreaker nisaidie mkuuππππ
Ugali na supu kama hivyo kuwe na ndim na pilipili unaisha wote huo ndani ya sekunde chache.Ugali na mchuzi wa nyama au wali na mchuzi wa nyama siwezi kula haushuki kabisa ila ugali wa supu tu ya nyama au wali unashuka vizuri tu
Kwetu TunduruWapi huko ?
Mchuzi wa hivyo kwangu ni favourite kuliko mchuzi wa kuungwa na nyanyaMapishi ya watu wa Musoma hayo...
Mambo ya kuunga nyama sijui samaki siyo mambo yao...
Na inakuaga tamu kuliko michuzi iliyowekwa viungo..
Kabisa mkuu na bia pembeniWali wa supu hapanaπ
Ugali na supu kama hivyo kuwe na ndim na pilipili unaisha wote huo ndani ya sekunde chache.
Hahahah πbia hutalewa ukila ugali hivyoKabisa mkuu na bia pembeni
ππThe Icebreaker nisaidie mkuuππππ
Hapa ni asubuhi tu ila nimeshalewa bia mkuuπππHahahah πbia hutalewa ukila ugali hivyo
Leo nimeamka na pombe nihurumie tuπππ
πAsubuhi ya nchi gani mkuu, huku umatumbini ni saa 3 usikuHapa ni asubuhi tu ila nimeshalewa bia mkuuπππ
ππππππππAsubuhi ya nchi gani mkuu, huku umatumbini ni saa 3 usiku
Huko chakula chetu pendwa kipindi tupo advance. Nakumbuka ugali nyama na matunda ni jumatano. Ilikuwa ni sherehe.Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa.?View attachment 3165185
Kumbe upo abroad na husemiπLeo nimeamka na pombe nihurumie tuπ
Namtumbo kumbe nayo ni abroad ziheshimiwe vpn kwa kweli πππKumbe upo abroad na husemiπ