HURUMA SANAKiufupi huyo ni kahaba aliyejificha kwenywe ndoa,Wanawake wengi ni makahaba ila akiwa ni mnywa pombe huyo ni risk zaidi.
Mnamke anyway pombe hana tofauti na mwanamke malaya,huyo Mkeo ukisafiri hua anakwenda kunywa.
Umempapasa wewe 😹😹😹Kwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Kwanza nijibu, ww mkeo ukimkuta na mwanaume mwingine kitandani kwako analiwa utampiga na upande wa kanga na hiyo nyama laini kama unavyo jitapa hapo?Haya kapige mkeo Sasa Hadi uue,unaelewa maana ya ushauri wewe ,ulitaka niandike kile wewe unataka!? Basi kaue mkeo
Acha ujima ustadhi, mwanamke hapigwi, hata ustadhati FaizaFoxy atakufahamisha hiloKwanza nijibu, ww mkeo ukimkuta na mwanaume mwingine kitandani kwako analiwa utampiga na upande wa kanga na hiyo nyama laini kama unavyo jitapa hapo?
Kwani yeye alikuwa anampiga kumuuwa au alikuwa anampiga kumrekebisha.
Hapa duniani kila mtu anaye pigwa angekuwa ana kufa si dunia ingekuwa tupu?
Ww hujatoa ushauri bali umehukumu moja kwa moja baada ya kusema eti kumpiga mke ni upungufu wa akili.
Kwa hiyo ww umesha jihakikishia kwenye maisha yako yote hutokuja kuenda jela kisa humpigagi mkeo?
Ebu punguza undina basi.
KAMA SIO BIKRA USIOEKwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Huo ni mtazamo wako na una uhuru wa kuamuwa familia yako uindesheje na kwa mitazamo yako.Acha ujima ustadhi, mwanamke hapigwi, hata ustadhati FaizaFoxy atakufahamisha hilo
Kupiga wanawake ni ujima, ni mtindo wa maisha wa cavemen na watu wa kale wasiostaarabikaHuo ni mtazamo wako na una uhuru wa kuamuwa familia yako uindesheje na kwa mitazamo yako.
Ww mkeo akikukosea uwamuzi uko ndani yako umpige kurekebisha ,umfukuze,umsamehe hayo yote yako kwenye maamuzi yako.
Nimesha kwambia kila mtu ana uhuru wa kuishi na kuendesha maisha yake anavyo taka ,ww ukiishi kisasa ina tosha ,Kupiga wanawake ni ujima, ni mtindo wa maisha wa cavemen na watu wa kale wasiostaarabika
Mwache adangishwe kama huwezi chapa kazi vizuri nime experience kitu mwanamke ukimchikulia poa nae hivyo hivyo ndivo anavokua unachotakiwa ni kukaza kishundu ili eshima ikaeKwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Nimesha kwambia kila mtu ana uhuru wa kuishi na kuendesha maisha yake anavyo taka ,ww ukiishi kisasa ina tosha ,
Ww hujawahi kuwa na mchango wowote kwenye maisha yangu mpaka unipangie namna ya kuendesha mambo yangu au ya mtu mwingine.
Kwanza ww hata mke huna na huna mpango wa kuwa naye hii mada haikufai.